Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aendelea na kampeni katika viwanja vya Bank, Mombo Korogwe vijijini na viwanja vya Mwanjani Tanga

Picha hazipo clear.

Please vote for Dr. Magufuli.
 
Hoja ya kuponda ndege itaenda kumuomyesha cha mtema kuni LIsu usukumani wana hasira naye ya kufa mtu.Sehemu zote za starehe agenda ni hasira waliyonayo kuziponda ndege alikoongelea kanda ya ziwa.
Umezoea uongo ww.
Kabla ya ndege za jiwe kulikuwa na FASTJET, nauli yake Dar - Mwanza ilikuwa sh elfu 70.
Saivi baada ya kuua Fastjet, kwa ndege mpya za jiwe Dar - Mwanza ni laki 4.
Afu unaleta porojo hapa!
 
Ona hyu jamaa ,mfumo wa elimu mbaya unaolalamikiwa humu ndy ambao umemtengeneza hyu jamaaa..kosa sio lake!! Mfumo huu umefanya hyu jamaaa aendelee kuwa mbumbuu kila kuchao!!mfumo mfumo mfumo!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Umezoea uongo ww.
Kabla ya ndege za jiwe kulikuwa na FASTJET, nauli yake Dar - Mwanza ilikuwa sh elfu 70.
Saivi baada ya kuua Fastjet, kwa ndege mpya za jiwe Dar - Mwanza ni laki 4.
Afu unaleta porojo hapa!
fASTJET ILIKUFA SABABU NAULI HAIKUWA realistic ku recover cost.ILE NDEGE wenyewe walikuwa mafisadi waliokuwa serikalini wakiiba wasingizie wanaendesha biashara ya ndege.
Hiyo nauli yako ya uongo ilikuwa kwa baadhi ya tiketi.Ukipanda ilikuwa kila mtu ana nauli yake maximum uilikuwa 320000

sasa ilikufaje wakati nauli ya basi kutoka dar es saaam hadi mwanza nauli ni elfu 70 na mamia ya watu wanasafiri kila siku si ingekuwa inaendelea kufanya kazi.MBONA PRESICISSION air wapo? wanadunda> Na mashirika ya ndege kibao yako hewani kama airlink nk
 
Rubbish.. iliuliwa na pombe kwa figisu na hila Kama kawaida yake
FASTJET lilikuwa shirika la wezi na mafisadi akina MASHA na wenzao .Walilileta geresha tu wakwapue pesa maeneo mengine wakidakwa wasingizie biashara ya ndege!!
 
AULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.

DAR - ARUSHA = Basi la kawaida 22,700/=, Semi luxury bus 32,800/=, Luxury bus 36,000/=

DAR - BABATI via ARUSHA = Basi la kawaida 29,000/=, Semi luxury bus 41,800/=, Luxury bus 45,900/=

#DAR - BUKOBA via DODOMA = Basi la kawaida 55,100/=, Semi luxury bus 77,300/=, Luxury bus 85,000/=

DAR - DODOMA = Basi la kawaida 16,700, Semi luxury bus 24,100/=, Luxury bus 26,400/=

DAR - IRINGA = Basi la kawaida 18,300/=, Semi luxury bus 26,300/=, Luxury bus 28,900/=

DAR - KIGOMA = Basi la kawaida 58,800/= Semi luxury bus 80,900/=, Luxury bus 88,900/=

DAR - LINDI = Basi la kawaida 17,800/= Semi luxury bus 24,400/=, Luxury bus 26,800/=

DAR - MBEYA = Basi la kawaida Basi la kawaida 30,700/=, Semi luxury bus 44,300/=, Luxury bus 48,700/=

DAR - MOROGORO = Basi la kawaida 7,100/=, Semi luxury bus 10,300/=, Luxury bus 11,300/=

DAR - MOSHI = Basi la kawaida 19,800/=, Semi luxury bus 28,500/=, Luxury bus 31,300

DAR - MTWARA = Basi la kawaida 21,500/=, Semi luxury bus 29,700/=, Luxury bus 32,600/=

DAR - MUSOMA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 50,800/=, Semi luxury bus 73,200/=, Luxury bus 80,500/=

DAR - MWANZA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 42,600/=, Semi luxury bus 61,400/=, Luxury bus 67,500/=

DAR - SHINYANGA = Basi la kawaida 36,600/=, Semi luxury bus 52,700/= Luxury bus 57,900/=

DAR - SINGIDA kupitia DODOMA = Basi la kawaida 25,500/=, Semi luxury bus 36,800/=, Luxury bus 40,400/=

DAR - SONGEA = Basi la kawaida 35,000/=, Semi luxury bus 50,600/=, Luxury bus 55,500/=

DAR - SUMBAWANGA = Basi la kawaida 45,100/=, Semi luxury bus 62,100/=, Luxury bus 68,200/=

DAR - TABORA = Basi la kawaida 39,000/=, Semi luxury bus 54,700/=, Luxury bus 60,100/=

DAR - TANGA = Basi la kawaida 12,800/=, Semi luxury bus 18,500/=, Luxury bus 20,300/=

DAR - KIBAHA = Basi la kawaida 1000/=, Semi luxury bus 1,500, Luxury bus 1,600
 
Okay hebu niwekee balance sheet hapa ya ATCL ya last financial year tuichambue kwa pamoja tuone kama tutakaa tufaidike na hiyo midege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…