Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA Tundu Lissu ageuka Mbogo wakati akizungumza katika Jimbo la Kibamba baada ya CCM kuwabagaza CHADEMA katika Uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za Mita na kuambulia Mitaa 9 pekee kati ya 44. Alidai kwamba matokeo hayo ni ushahidi wa kutokufanya kazi ipasavyo na kuhimiza wanachama wa CHADEMA kujiandaa kikamilifu kwa changamoto zijazo.
Soma pia:
-> Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA
-> Kiona Mbali: Lissu anaihitaji CHADEMA, CHADEMA haimuhitaji Lissu
-> Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA
-> Kiona Mbali: Lissu anaihitaji CHADEMA, CHADEMA haimuhitaji Lissu