johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mfumo umekaa hovyo sn siyo rahisi CCM kuondoka madarakani"Bila Polisi , ccm ni wepesi sana kama karatasi"- Erythrocyte
Kabla hata ya kuandaa uchaguzi tume inajua mshindi ni nani uchaguzi ni maigizo tupuKwa tume hii ambayo ikimaliza kuhesabu kura inasema "Mungu nisamehe" ndipo inamtangaza mshindi?
π€£ π€£ π€£CCM iandae uchaguzi, iteue wasimamizi, ina polisi, mahakama na TISS uje uishinde?
Kwa nini usimshauri awe na watu wanaojua namna ya kukimbia vema na maboksi ya kura pamoja na watumishi wa NEC wanaojua kukosea kuandika idadi halisi ya kura?Ninaelewa nyomi kwenye Mikutano yake ndio inampa picha kuwa anapendwa na Wananchi Lakini huenda anajidanganya
Inawezekana ile nyomi ni Wananchi wa kawaida tu na Siyo wapiga kura waliojiandikisha
Namshauri mh Tundu Lisu aunde Tume imfanyie Utafiti kama alivyofanya mh Omtata anayejipanga kumng'oa Rais Ruto hapo Kenya ifikapo 2027
Dominica njema ππ₯
Askofu Dr Shoo amesema wao watashughulika na Tume ya UchaguziKwa nini usimshauri awe na watu wanaojua namna ya kukimbia vema na maboksi ya kura pamoja na watumishi wa NEC wanaojua kukosea kuandika idadi halisi ya kura?
Watawakataza wasiingie kwenye "masinagogi" au kuwakemea mapepo ya wizi yawatoke?Askofu Dr Shoo amesema wao watashughulika na Tume ya Uchaguzi
Itasomwa Dua ya Ngamia πWatawakataza wasiingie kwenye "masinagogi" au kuwakemea mapepo ya wizi yawatoke?
Nguvu ya kwangu, tume inayoamua ya kwangu, maumuzi ya kwangu. Unafikiri nitaamua tofauti na interest zangu... Aunde tume Ili iweje?!Ninaelewa nyomi kwenye Mikutano yake ndio inampa picha kuwa anapendwa na Wananchi Lakini huenda anajidanganya
Inawezekana ile nyomi ni Wananchi wa kawaida tu na Siyo wapiga kura waliojiandikisha
Namshauri mh Tundu Lisu aunde Tume imfanyie Utafiti kama alivyofanya mh Omtata anayejipanga kumng'oa Rais Ruto hapo Kenya ifikapo 2027
Dominica njema ππ₯
Waliojiandikisha wana alama?Ninaelewa nyomi kwenye Mikutano yake ndio inampa picha kuwa anapendwa na Wananchi Lakini huenda anajidanganya