Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Hii misikule imewekwa ndondocha na ccm inajua nini unapoteza muda wakoKampeni bado hazijazinduliwa, kwa hiyo kazi ya kuinadi ilani nayo bado.
Kiujazacho moyo...CCM bila Rushwa hakunaga.Wanashabikia rushwa inayotolewa na wagombea na kupokelewa na wajumbe kwa umoja wao katika ngazi zote za uongozi.Hatari sana.Hakuna watu clean ambao wanaweza kutoa ela za mafuta? Au inchi hii watu wote ni wala rushwa tu
Kiujazacho moyo...CCM bila Rushwa hakunaga.Wanashabikia rushwa inayotolewa na wagombea na kupokelewa na wajumbe kwa umoja wao katika ngazi zote za uongozi.Hatari sana.
CCM Mpya inafanya kampeni kwa kutumia miradi iliyotekelezwa kwa kodi za Watanzania wote.
Kampeni hazijaanza mnaweweseka namna hii, sasa kampeni zikianza si mtampiga risasi tena?Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa
Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu
Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.
Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu
Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.
Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.
Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
Hakika huo ndiyo ukweli,ukitaka kufahamu jinsi walivyo watakupinga kuwa kile afanyacho mgombea wao siyo rushwa.Wamepofushwa kiasi kwamba hawafahamu tena tafsiri ya rushwa ambapo hata TAKUKURU nao hawafahamu aina na mbinu watumaizo watoaji wakishirikiana na wapokeaji.Mmeiba trillion 1.5, mmetoa rushwa kununua wabunge na madiwani wa upinzani, Rc Mnyeti akirekodiwa wazi wazi kati ya wengine wengi, mchakato wa kupata wagombea wenu wa ndani umegubikwa na rushwa majimbo yote 300+ Tz nzima, mgombea urais anapita akigawa rushwa barabarani tena hadharani,
Bado mnathubutu kuongelea suala la kukemea rushwa?? Mkiwa ninyi ndo vinara wa rushwa, Tanzania pengine na dunia na mfumo wa sayari kwa ujumla wake, aibu ccm, AIBU!
Naongelea jinsi ambavyo CCM bila Rushwa haiwezi kuwepo hapa duniani.Rushwa ndiyo uhai wa CCM.Unalo?Mbona ueleweki unaongea nn
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa
Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu
Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.
Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu
Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.
Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.
Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
Rushwa imekemewa kwa miaka yote na viongozi wetu lakini hzijawi kuisha. Kwahiyo kukemea sio kigezo cha kupambana na rushwa. Ilianzishwa mpaka mahakama ya mafisadi lakini sijui ni kesi ngapi na ni mafisadi gani mpaka sasa wameshahukumiwa kwenye hiyo mahakama.Kampeni bado hazijazinduliwa, kwa hiyo kazi ya kuinadi ilani nayo bado.
Kwani Tanzania Kuna Rushwa?Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa
Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu
Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.
Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu
Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.
Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.
Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
Naongelea jinsi ambavyo CCM bila Rushwa haiwezi kuwepo hapa duniani.Rushwa ndiyo uhai wa CCM.Unalo?
Nashukuru wewe umeelewa mapema,tusaidiane kuwaelewesha Watanzania wenzetu ya kuwa bila kuiondoa CCM,mapambano dhidi ya Rushwa hayatakaa yafanikiwe kwa sababu hao ndiyo waanzilishi wa Rushwa hapa Tanzania,wameilea na wanailinda ili waendelee kuwepo.Hivyo,kuondoa Rushwa kwa njia ya kisayansi ni kuondoa chanzo chake ambacho ni CCM.Hapo Sawa nimeelewa
Alipoongelea wajasiriamali wa kisiasa hukumuelewa? Subiri muziki wake kampeni zikianza ndo utasikia kipigo cha rushwa kwenye kura za maoni. Au nyie rushwa ni halali kwenye chama lenu?Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa