U must be joking....Jiwe kama anajipenda akae mbali na Lisu wa awamu hii.
Lisu anaweza kumtoa Jiwe madarakani bila kupenda endapo ataendelea kumsakama.
Kama siyo kwanini kutaka kum eliminate ?!Lisu isn’t a threat of JPM and CCM in general
TL anajielewa hawezi kuitikia witowamfanye rafiki kushindana nae hawawezi
Nahisi hata Ikulu yetu watamualika ili wampe pole.
akikujibu niiteKama siyo kwanini kutaka kum eliminate ?!