J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Dec 23, 2024 #1 Ukiachilia mbali kutukanwa na Viongozi wenzake akina Ntobi, Yeriko nk Lakini hili la Ubangaizaji ni madharau yaliyotuka Ukishindwa na kubaki Chadema Mh Tundu Antipas Lisu utajikuta unadharirika sana Ni angalizo tu Ahsanteni sana 😄
Ukiachilia mbali kutukanwa na Viongozi wenzake akina Ntobi, Yeriko nk Lakini hili la Ubangaizaji ni madharau yaliyotuka Ukishindwa na kubaki Chadema Mh Tundu Antipas Lisu utajikuta unadharirika sana Ni angalizo tu Ahsanteni sana 😄