Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hakika Lissu mwisho wa maneno. Ameifanya Chadema kuonyesha kuwa majukwaa ya siasa hayana sababu ya kuwakodi kina Zuchu, Kiba, Singeli au Diamond maana wanapoteza hata maana ya mkutano na kuwa tamasha kwani knacho semwa hapo hakiwaingii akilini walengwa kwani wanafikiria swaga za bongo flava au singeli tu.
Yeye kaja na style ya kuwarusha kwa Reggae wasikilizaji wenyewe badala ya kushangaa na mbinu hii imeonekana kupata mvuto mkubwa kwani sasa reggae limerudisha umaarufu wake tena na kila Mahali likipigwa watu wanamkumbuka Lissu.
Hakika CCM mwaka huu, hata sijui itaishia wapi