Tundu Lissu alipopigwa risasi, hatujawahi kumsikia Makonda

Kabisa Mkuu kama Mkuu wa kitengo cha utekaji, utesaji na uuaji AKA watu wasiojulikana huyo mfoji vyeti ndiye aliyesimamia zoezi lote la kutaka kumuua Lissu.
Wakati lissu anapigwa risasii alikuwa kimyaa walahi akingojea taarifa ya msiba maraa paaap, lissu kapona kuingia kaburini walahi

Mda wote huo bashite lilikuwa kimya walahi halijawahi kutoa hata pole walahi, lisu kalala kitandani kenya na ubelgiji mwaka mzima walahi bashite hajawahi hata kutoa mia yake hata pole tu hajawahi kuitoa

Sasa leo anamuona anachanja mbuga walahi ulaya huko Roho imeanza kumuuma ndio anajifanya anamjua lissu sasa hivi, Roho inamuuma Bashite maana alijua Lissu atakufa walahi na lissu anazidi kuchanja mbuga tu walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye DAB ndiye main suspect wa tukio hilo la Tundu Lissu........

Wengine ambao ni suspects wa hilo tukio wamo akina Musibaaaa na yule kibandiko.....
 
Kabisa Mkuu kama Mkuu wa kitengo cha utekaji, utesaji na uuaji AKA watu wasiojulikana huyo mfoji vyeti ndiye aliyesimamia zoezi lote la kutaka kumuua Lissu.
Kuna ile clip inayomuelekeza Ndugai nini awafanyie wapinzani ili watoke washughulikiwe !! Ile ndiyo chanzo cha matatizo .

Mungu ni mwema siku moja watu watajuwa chanzo cha matatizo .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kauli zake za hivi karibuni kila kitu kinadhihirisha kina nani walibeba dhamana ya shambulizi dhidi ya Lissu.
 
Nazipenda sana "walahi" zako.Unaziandika kwa upoooleee mithili ya taarabu nzuuri ya mahadhi ya Pwani.Upo vema sana.Upo kwenye the very right "track" wallah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom