Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Kabisa Lissu ,Uchaguzi huu lazima watu waende The Hague!!
 
Tatizo lipo kwetu sisi wa afrika.

Ukimpa mtu uongozi anataka atawale milele na kuumiza wenzake

Bado kujilimbikizia mimali mingi.

Kwakifupi naunga mkono wazungu kututhibiti.

Sisi ni kizazi cha laana Africa.
 
A typical Sycophant!

Machafuko yakitokea na aliyesababisha bila kujali ni nani, atawajibishwa kama mataifa mengine kule ICC.

Sio vitisho, subiri uone!
 
Mtajua hamjui.

Simu yenyewe unayotumia ya mzungu kubwabwaja ujinga humu.

Dunia ya leo unaweza kuishi bila kugusa kitu cha mzungu wewe?

Bongo zenu kamasi tupu.
 
PIGA KURA YAKO ONDOKA NENDA NYUMBANI KWAKO UKALALE UTATANGAZIWA MATOKEO😛😛😛😛😛😛😛😛😱😱
 
Huyo punguani jina lake ndio la kwanza kwenye hiyo list ya bwana wake Amsterdam. Apeleke utopolo wake hukohuko Ubelgiji.
 
Hata waandishi njaa waliopokea bahasha za kaki wataingizwa kwenye orodha .
 

Upinzani wanaogopa serikali na Serikali inaogopa upinzani
 
Kuna wakati unaweza kuwa muongeaji mwenye kutia shaka.
Mbinu unazotumia Tundu ni za hovyo!
 
Huyu wakili tapeli
"Robert Amsterdamhas built a global career working as a legal gun-for-hire
and public relations svengali."

"Amsterdam's clients are hopeless causes, guilty of such overt criminality there really is no defense. And while it may be noble to defend such men, adhering to the best traditions and values of the West, Robert Amsterdam goes well beyond this, abusing this responsibility in order to carry out specific political objectives on behalf of the globalists with whom he consorts
 
Kwa nini Serikali yetu haimnyang'anyi tundu lisu passport yetu?
 
Tatizo lipo kwetu sisi wa afrika.

Ukimpa mtu uongozi anataka atawale milele na kuumiza wenzake

Bado kujilimbikizia mimali mingi.

Kwakifupi naunga mkono wazungu kututhibiti.

Sisi ni kizazi cha laana Africa.
Wazungu hawatuthibiti mkuu. Wazungu wanawathibiti wale wanaowazibia Mambo yao. Hata ungekuwa kiongozi mbaya kiasi gani Kama michongo yao inapita fresh hawakusumbui Mzee. Ndio Maana Kagame anakula tu Bata hadi leo, Mseveni anapeta, Do Santos alipeta Hadi alipojichokea. Rais wa Ivory Coast ameangeza Muda kinyume na Katiba na nakuhakikishia hawatafanya chochote kwa sababu ni kijana was Wafaransa. Orodha ni ndefu. Lakini Kama unawazibia trust me hata ungekuwa mzuri kiasi gani zitatengenezwa propaganda na zitatafutwa angle za kukufanya uonekane mbaya!
 
Mkuu unakwama wapi siku hizi au ndio wajiandaa kuwa karibu upate UDC?Kwani watu wakiuana ndani ya nchi si wanaua nchini kwao jiulize kwa nini wanashitakiwa the Hague?Unajitoa ufahamu mkuu kama hujui ngoja nikuambie unapotea na unapotosha watu ipo wapi Tume Huru ya uchaguzi Tanzania?imechaguliwa na nani au chombo gani hadi uiite Tume Huru yaani mkuu hata neno huru unajifanya hujui maana yake????
 

Hahahahaha please say something about this too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…