Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 halafu anajirekodi malalamiko yake kwa kiingereza

Badala ya kumsaidia mgombea wenu anaumbuka kule zenji..baada ya shoo ya Mondi watu hao wakasepa...nyie mmekaa hapa kujadili uhuni wa NEC.

Mwaka huu lazima kamasi nyembamba iwatoke!!

Lissu ni Rais!!
 
Sijuhi "wazungu" hapa Tanzania huwa wanakwama wapi kumpata "Yuda" mzuri? Kwa Lissu wameramba garasa.....ana wenge sana, afadhali Libya na Misri wao walikuwa wamepata "vichwa"

Ngumu kunielewa ila rudia tena kusoma hata mara 3!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…