Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
TBC simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?Mnafiki kweli kweli bwana huyu:
1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamefufuka
4. Vyombo vya habari anamnyima
Mshamba sana huyu bwana.
Unafikiri yeye haingii humu!?Swali zuri sana nadhani hili swali kina pole pole watamfikishia mezani boss wao
Kama angeacha wapinzani waongee na magazeti na TV ziwe huru, wapinzani wasingekuwa na ya kuongea sasa hivi. Kinyume chake sasa hivi Magu hana jipya, watu wamewamiss wapinzaniHilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Tbc simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?
😂😂, Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi😲? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.🚶🚶🚶🚶Magu ameshapaniki na Sasa dalili zinaonyesha ataviamrisha vyombo vya usalama kuchezea uchaguzi.
Na hapo ndio mtego wa Lissu ulipo
Yaani mwaka huu uchaguzi uwe huru Lissu mapema anachukua uchaguzi uchezewe watu waingie barabarani Jiwe akimbie Ikulu
Patamu Sana mwaka huu.
Joni kwanza, muliwafukuza? Na youtube je? Chadema media Nani kaifungia?Unajitoa ufahamu? Inaitwa unajifanya hamnazo? Wewe hujui kwa nini TBC alifukuzwa? Hujui alikuwa anatekeleza maagizo tokea mbinguni?
Subiri kidogo sindano iwaingie.
Tafuta za namna gani? Hata zile risasi 16 utakuwa unadhani kuwa jiwe anasingiziwa tu.
Bila shaka yalikuwa ni mawe ya manati.