Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Upeo ukiwa mdogo unadhania Unajua kila kitu kumbe wewe ndio too low.

Ninayoyaongea leo utakuja kuyasikia na kuyaelewa siku si nyingi.
Huna unachojua zaidi ya kutetea CCM, utayaelewa wewe na mazombie ya Lumumba, narudia you have to be nut to defend CCM
 
Mnafiki kweli kweli bwana huyu:

1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamemfukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima

Hayo mapenzi yameanza lini?

Mshamba sana huyu bwana.
Akili nyepesi huandika bila utafiti. Huandika ya kuambiwa tu.
 
Huna unachojua zaidi ya kutetea CCM, utayaelewa wewe na mazombie ya Lumumba, narudia you have to be nut to defend CCM
CCM inakuongoza wewe na jamaa zako wote. Unapoongozwa na nuts maana yake na wewe ni nuts tofauti ni kwamba hujataka tu kwenda hospitali ili upewe dozi yako.
 
CCM inakuongoza wewe na jamaa zako wote. Unapoongozwa na nuts maana yake na wewe ni nuts tofauti ni kwamba hujataka tu kwenda hospitali ili upewe dozi yako.
I am not nut ndio maana nawapinga, bali wewe unayetetea na kupongeza hadi kuzua uongo na yasiyokuwepo ili kuaminisha wenye akili it proves jinsi ulivyo na mtetemeko wa akili on your upstairs
 
I am not nut ndio maana nawapinga, bali wewe unayetetea na kupongeza hadi kuzua uongo na yasiyokuwepo ili kuaminisha wenye akili it proves jinsi ulivyo na mtetemeko wa akili on your upstairs
Jikite kwenye hoja bwana mdogo hii mihemko ya bangi unazovutia chooni haiwezi kukusaidia.
 
Jikite kwenye hoja bwana mdogo hii mihemko ya bangi unazovutia chooni haiwezi kukusaidia.
Wewe ndio bwana mdogo na hoja unapindisha kwa sababu hauko sawa upstairs. Acha upotoshaji peleka kwa wasio na ufahamu, utajua kama bangi navutia chooni au Lumumba
 
Wewe ndio bwana mdogo na hoja unapindisha kwa sababu hauko sawa upstairs. Acha upotoshaji peleka kwa wasio na ufahamu, utajua kama bangi navutia chooni au Lumumba
Wewe huna ufahanu wowote zaidi ya mbwembwe za maneno machache ya kingereza. Rudi kwenye hoja achana na huu utoto.
 
Wewe huna ufahanu wowote zaidi ya mbwembwe za maneno machache ya kingereza. Rudi kwenye hoja achana na huu utoto.
Wewe mwenye ufahamu ungeweza kusema humu barazani kuwa bunge lilipisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato? Mzee Makamba anasema umejengwa na CCM kuonyesha mlivyokosa akili hata ya kuazima, na unataka na mimi ni kubaliane na huo upuuzi? Mimi nina utoto wewe una wazimu
 
Uwanja wa Chato ni alternative airport kwa ajili ya uwanja wa Mwanza ambao ni mkubwa na wa kisasa. Uwanja wa Mwanza ni hub mpya hivyo siku zote hauwezi kuwa na hub pasipo kuwa na uwanja mdogo karibu yake kama uwanja wa akiba.

Haya ni masuala ya kisayansi, ukiwa mtu wa kusikiliza umbeya wa mitaani huwezi kuelewa kitu.
 
Uwanja wa alternative wa ndege wa Dar es salaam ni upi? Danganya wajinga, na kwa nini uwe Chato? Kwa nini usipitishwe na bunge? Wewe kama nani ujibu wakati msemaji mkuu wa serikali, waziri wa mawasiliano, waziri mkuu wako kimya, ni Makamba na wewe mwenye ufahamu kulikoni?
 
Hoja za uchaguzi za CHADEMA ni kituko cha karne.

Mwaka huu hiki chama kitakuwa cha kuchangisha michango ya kufa na kuzikana
 
Nani aliyekudanganya kwamba haujapitishwa na bunge?.
Alternative ya Dar ni Zanzibar ambao ni dakika nane tu angani.

Alternative ya KIA ni Arusha dakika tano tu angani kwa triple 7.

Alternative ya Mwanza ni Chato dakika 15 angani.

Sio lazima niwe waziri kuweza kukupa taarifa wewe unayetanguliza matusi wakati unatumia ID na mimi natumia ID.
 
Bunge lipi? Acha uongo
 
Kumbe 'jiwe' ni jina lake rasmi?

Binadamu ukaitwe jiwe hata kujitafakari hamna?

Mengine yote tisa mwaka huu asijaribu kuiba uchaguzi kama anajipenda. Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Kumbe 'jiwe' ni jina lake rasmi?

Binadamu ukaitwe jiwe hata kujitafakari hamna?

Mengine yote tisa mwaka huu asijaribu kuiba uchaguzi kama anajipenda. Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Wewe acha kubweka 🗣️, na kujitutumua huku jf, walikuwepo manunda wenye amshaamsha na walishindwa wewe kapuku mmoja utafanya nini😂.?
 
Wewe acha kubweka 🗣, na kujitutumua huku jf, walikuwepo manunda wenye amshaamsha na walishindwa wewe kapuku mmoja utafanya nini😂.?

Utaujua vipi ukapuku bila kuwa kapuku wewe mwenyewe.

Wahi buku 7 Lumumba.

Ita kujitutumua. Ita walikuwapo.

Suala ni rahisi ibeni uchaguzi. Habari ndiyo hiyo.
 
Utaujua vipi ukapuku bila kuwa kapuku wewe mwenyewe.

Wahi buku 7 Lumumba.

Ita kujitutumua. Ita walikuwapo.

Suala ni rahisi ibeni uchaguzi. Habari ndiyo hiyo.
Mkuu sibishani na nyumbu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…