Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU umeandika kutikisika ki shabiki na wewe..mkuu unaijua dunia? Tanzania yenyewe imewahi kutikisika mara mbili tu
mara ya kwanza ilikuwa siku chacha Wangwe alipopoteza maisha katika hali ya kutatanisha ,,mara ya pili ni siku Dr Slaa alipoondoka Chadema
Aliibiwa na nani yeye alisema wasilindeMKUU umeandika kutikisika ki shabiki na wewe..
hata kwenu mara ya kwanza lowassa alivyoenda upinzani mara ya pili walivyomwibia kura.
Note:Tuacheni ushabiki usio na maana
Acha bangeemkuu unaijua dunia? Tanzania yenyewe imewahi kutikisika mara mbili tu
mara ya kwanza ilikuwa siku chacha Wangwe alipopoteza maisha katika hali ya kutatanisha ,,mara ya pili ni siku Dr Slaa alipoondoka Chadema
Wanaenda ccm kimwili kiroho wako ChademaAandike tu lakin akirud atajitukuta amebaki yeye tu na mke wake huko chadema watu wote ccm viva viva