RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA jana nimemsikiliza kiujumla hotuba yake ilikuwa imeshiba madini ya kutosha ambayo sasa ni mhimu serikali isishupaze shingo kufanya utekelezaji.
Mifumo yetu ya uchaguzi ni mifumo ambayo inafaidisha watawala sasa zama za nusu mkate hazipo tena , tabia ya viongozi wa ccm kutoa majimbo kadhaa kwa vyama vya upinzani imefika mwisho , maana hayo yamekuwa yanafanywa kwa kila mtawala pindi anapojisikia kufanya hivyo.
Na tabia hiyo ya watawala imefikia hatua yakujiaminisha ushindi hata kama wananchi hawawataki na hii imepelekea serikali kutowajibika kwa umma ipasavyo ! Fedha za umma zimetapanywa na walafi ambao hawajali matatizo ya wananchi.
Hatuwezi kuwa na viongozi ambao kila anapopata madaraka yeye ni kuiibia nchi na kujiaminisha ushindi kwa kutumia tume mbovu ambayo ana idhibiti yeye mwenyewe , sasa tunasema hapana.
Wabunge wengi wakipata ushindi hawana mda wa kuwajibika kwa wananchi wakifika bungeni wanawageuka wananchi na kuanza kuwa chawa wa serikali huku wakiangamia sasa ni wakati wa mabadiliko, nguvu iliyopo ya kudai mabadiliko haitakuwa ya raia wakawaida, taasisi za dini n.k hizo zinaunga mkono mabadiliko hayo.
Sasa mabadiliko ni sasa no reform no election wananchi wanechoka kuburuzwa kuanzia wenyevuti wamitaa madiwani wabunge na rais ambao siyo chaguo lao.