Tetesi: Tundu Lissu Asikitishwa na yanayoendelea Chadema na Uchaguzi 2020



CCM imekuwa kiwanda cha uong, uzushi na majungu. Ishu ya Membe ni ya ndani na imenoga kweli kweli mpaka mnaomba msaada kwa Team Lowasa ili kupambana na Team JK ambayo ndiyo iko nyuma ya BM.Ni kichaa tu anayeweza kuamini huu uzushi wako.Membe kawabana mbavu hadi raha.Sisi hatufanyi kosa tena kuchukua mtu toka CCM, na Tundu Lissu japo kuwa mlimmininia risasi nyingi ili kumtoa roho lakini kwa vile Mungu ana mpango naye kwa ustawi wa nchi hii kamnusuru na akili yake ni timamu kabisa tena ndiyo imekuwa katika kiwango cha juu cha ubora hivyo hawezi kuwa na fikra za kipumbavu kama unavyojaribu kushawishi, Malizeni wenyewe ishu ya Membe.
 
Hata wakiumwa na nyoka hawahamaki nyasi zikitikisika, nyumbu kabisa, wacha waendelee kuliwa na predators..😀😀😀
 
Hivi uchaguzi ndani ya chadema uliishaje ama unaendeleaje!? Nakumbuka kulikuwa na taarifa za kufanyika uchaguzi ndani ya chama hicho kwa ngazi zote mwaka huu.
 
si ndo wanamtaka membe akagombee . kuna watu wapuuzi chadema.... hawa wanataka kukiharibu chama kwa kujaza mataka taka ya ccm huko. na wakat huo huo wanshindwa jisimamia wenyewe.
Hivi uchaguzi ndani ya chadema uliishaje ama unaendeleaje!? Nakumbuka kulikuwa na taarifa za kufanyika uchaguzi ndani ya chama hicho mwaka huu.
 
Kama ameyasema hayo tusubiri kama naye hatakuja kumkumbatia Membe kama walivyofanya kwa mzee Lowassa
 
aliyewabana ccm ni huyu hyu maembe????????????????????????? aiseeeee..... kweli kuna watu vilaza. ngoma ya membe nyie mnacheza bila kuifaham kinachoimbwa na midundo ya ngoma yenyewe. membe ni mtu mdogo sana ambaye hana madhara kabisa sema wanachotaka kukifanya ccm ni kuwapoteza maboya. nyie mtahangaika na membe hamtatafuta mgombea urais 2020 mwenzenu ataendelea kubak ccm wakati nyie mwishowe mnaamua kumsimamisha mbowe awe mgombea urais. kituko kingine.

 
Unahaki ya kusema hivyo ukiwa kama msakatonge kama alivyiwaambia nape.
 
Kwa ss hapo Lumumba kitengo cha propaganda hamnaga kbs,ila hata hivyo umejitahidi nenda kachukue buku 7 yako
 
Gonjwa la kubadili gia angani ni ambukizi sana. Linasambaa hadi lisambaratishe.
 

Kawashika masaburi huyo dadeki, mtakomaje?
 
Huna akili wewe!
 
Hahaha bonge la posti. Cccc Mwanahabari Huru BAK na wanafiki wote mitaa ya ufipa inayoungua moto, mitaa ya ufipa ambayo kikamanda chao kipo segerea kikitoa huduma
Naamini kuna kitu huwa kinawatuma kufanya haya. Msijisahau mkapeleka kwenye familia, mkeo na wanenu watakudharau Sana. Jifunzeni kuandika ukweli sio kutunga.
 
Hivi , man u na arsenal walitoka ngapi ngapi vile ??
 
Naamini kuna kitu huwa kinawatuma kufanya haya. Msijisahau mkapeleka kwenye familia, mkeo na wanenu watakudharau Sana. Jifunzeni kuandika ukweli sio kutunga.
Hakuna anayekudharau, mbona tuna waheshimu sana ila nyie ufipa ndiyo mnongoza kwa matusi na dharau. Mfano mbow kila kukicha ni matusi tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…