LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.

Amesema Wakala hapaswi kusema anamwachia Mungu huku akiona utaratibu unakiukwa, Lissu amesisitiza kwamba Mungu hahusiki na Chaguzi hivyo kumuachia yeye achukue hatua kwenye wizi wa kura ni kumsingizia tu.

Katika kusisitiza hoja yake hiyo Lissu amedai kwamba, ndani ya kituo cha kura ni Ubaya Ubwela, na kuamsha Shangwe Ukumbini.

Screenshot_2024-10-13-10-21-16-1.png
Screenshot_2024-10-13-10-21-16-2.png
 
Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5

Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio

Mbona tumejaribu mwanamke na tulijaribu wengine madikteta na wachekaji tu na wakamaliza miaka yao! Hakuna kitu chenye uhakika maishani kila kitu ni majaribio na calculated risks! Bila kutake risks hamnaga development. Na ccm haitakagi maneno laini boss ni kama quarterpin ya baiskeli bila nyundo hutakaa uione inalegea
 
Back
Top Bottom