Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwahio bora samia akae miaka 10Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Kama Magufuli alikuwa Rais unadhani nani mwingine atashindwa?Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Kwahio bora samia akae miaka 10
Hapana huwa anayo elimu nzuri sana ila mungu amemnyima busura aisee.Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Unataka kufananisha JPM ni uchafu ulioko chadema aisee? Jaribu kuwa na aibu walao kidogo tuKama Magufuli alikuwa Rais unadhani nani mwingine atashindwa?
Busara ,weledi na utulivu wa mama ni sfa ambazo lissu hana na hakuzaliwa nazo mkuu(bahati mbaya)Kwahio bora samia akae miaka 10
Lakini kuna ka ukweli, kama Jiwe alikiwa Rais nani atashindwa?Unataka kufananisha JPM ni uchafu ulioko chadema aisee? Jaribu kuwa na aibu walao kidogo tu
Naunga mkono kila mstari kwa kujitegemea.Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Usijokijua ni kuwa hata Tundu ni kama Magu,akipata urais Tundu sio wa mchezo mchezoKama Magufuli alikuwa Rais unadhani nani mwingine atashindwa?
Sjamaanisha hvyoKwahio bora samia akae miaka 10
Hujui kitu weweBusara ,weledi na utulivu wa mama ni sfa ambazo lissu hana na hakuzaliwa nazo mkuu(bahati mbaya)
Lissu hatoteka wala kuua mtuUsijokijua ni kuwa hata Tundu ni kama Magu,akipata urais Tundu sio wa mchezo mchezo
Lissu anaweza kuua vzur tu,ukishakuwa mtawala mauaji mengine yanafanyika pasipo wewe kutoa amri,sasa inabid upambane na watu wako kuwazuiaLissu hatoteka wala kuua mtu
Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio