Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nondo hana hata boda bodaAbdul Nondo wa ACT Wazalendo π
Mbona sasa hivi huko Chadema mnateka na kuua wanachama wenu wanaokuwa kinyume na Mwenyekiti wa maisha?Lissu hatoteka wala kuua mtu
juzi tarehe 11 ilibidi niwanunulie walau chakula kwakweli kile kitendo viongozi wao waliwafanyia ni unyama wa hali ya juu ilibidi niwanunulie chakula mida ya saa 10 jioni baada ya kufika pale na kuambiwa sintofahamu inayoendelea juu ya wale mawakala nilijaribu kuliza siku inayofuata nambiwa waliingia mitini mtendaji akiwapigia simu hawashiki kabisaHii kitu ni kweli ndiyo hapa CCM huwa wanawapa 20,000 za kwenda kula na hapo ndiyo wale watu ambao walijiandikisha na hawakuja kupiga kura kura zao huwa zinaandikishwa, wanakosea sn kutowapa hela za kula mawakala, 2020 nilifanya utafiti mdogo Unguja na bara hii kitu ni kweli tupu.
CHADEMA wanakosea sn kusema watu wajitolee, mpe mtu hata elf 5 tu kwa siku kwa siku 10 ni 50 kitu ambacho wanaweza kabisajuzi tarehe 11 ilibidi niwanunulie walau chakula kwakweli kile kitendo viongozi wao waliwafanyia ni unyama wa hali ya juu ilibudi niwanunulie chakula mida ya saa 10 jioni baada ya kufika pale na kuambiwa sintofahamu inayoendelea juu ya wale mawakala nilijaribu kuliza siku inayofuata nambiwa waliingia mitini
mtu ajitolee kuanzia saa2 hadi saa12 kwa siku kumi yeye ni chizi au hana wategemezi wala shuhuli za kufanya bado umshindishe njaa nauli atoe yake huo sio wendawazimuCHADEMA wanakosea sn kusema watu wajitolee, mpe mtu hata elf 5 tu kwa siku kwa siku 10 ni 50 kitu ambacho wanaweza kabisa
Ana busara gani?Busara ,weledi na utulivu wa mama ni sfa ambazo lissu hana na hakuzaliwa nazo mkuu(bahati mbaya)
Wangeweza kuungana na ACT, kituo hiki wakala anakuwa wa ACT, kituo kile CHADEMA, mbona wangeweza kuchangia, bila mlo hakuna uzalendo ni utapeli tupumtu ajitolee kuanzia saa2 hadi saa12 kwa siku kumi yeye ni chizi au hana wategemezi wala shuhuli za kufanya bado umshindishe njaa nauli atoe yake huo sio wendawazimu
unajiuliza kama wakala hajapata mlo wa mchana ni vipi atafanya wajibu wake kwa ufanisiWangeweza kuungana na ACT, kituo hiki wakala anakuwa wa ACT, kituo kile CHADEMA, mbona wangeweza kuchangia, bila mlo hakuna uzalendo ni utapeli tupu
Na hii kitu inajulikana mapema sn, wangeweza kujipanga kwa mwaka mzima wasikosa milioni 500 za kuwalipa mawakala nchi nzimaunajiuliza kama wakala hajapata mlo wa mchana ni vipi atafanya wajibu wake kwa ufanisi
wakala mkorofi kwenye kituo cha kupigia kura atadhibitiwa vilivyo na Kwakweli atakua newtrolized vizuri sana na vyombo vya kutuliza ukorofu, ujeuri, ubishi na ujuaji na atapumzishwa sero vizuri tu..Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.
Amesema Wakala hapaswi kusema anamwachia Mungu huku akiona utaratibu unakiukwa, Lissu amesisitiza kwamba Mungu hahusiki na Chaguzi hivyo kumuachia yeye achukue hatua kwenye wizi wa kura ni kumsingizia tu.
Katika kusisitiza hoja yake hiyo Lissu amedai kwamba, ndani ya kituo cha kura ni Ubaya Ubwela, na kuamsha Shangwe Ukumbini.
View attachment 3123321View attachment 3123322
Mawakala wa Chadema wote wanalipwa hela nyingi kuliko wa chama chochote kileCHADEMA wanakosea sn kusema watu wajitolee, mpe mtu hata elf 5 tu kwa siku kwa siku 10 ni 50 kitu ambacho wanaweza kabisa
Acha kufananisha komba mwiko na mwiko wenyeweKama Magufuli alikuwa Rais unadhani nani mwingine atashindwa?
Mkuu hii kitu ni kweli wanalalamika hata siyo utani tangu 2020 nimefanya utafiti Unguja na bara, mimi nasupport sn CHADEMA lakini kuna makosa madogo madogo kama haya, fanya utafiti mkuu. CCM wanatumia kama mwanya kuwapa hela ya lunch na kuingiza kura za watu ambao hawajaenda kupiga kura sababu wanakuwa na record zote kutoka kwa DEDs ni seriousMawakala wa Chadema wote wanalipwa hela nyingi kuliko wa chama chochote kile
CCM ni laana ya taifaAcha kufananisha komba mwiko na mwiko wenyewe
Vitu vya maana unafananisha na ujinga?
2025 kataa ccm okoa rasilimali zetu na Taifa letu
Kwa hivi tunavyosema hakuna wakala anayelipwa kama wa Chadema, hao wa ccm wanapewa msosi na ahadi kibao za uongoMkuu hii kitu ni kweli wanalalamika hata siyo utani tangu 2020 nimefanya utafiti Unguja na bara, mimi nasupport sn CHADEMA lakini kuna makosa madogo madogo kama haya, fanya utafiti mkuu. CCM wanatumia kama mwanya kuwapa hela ya lunch na kuingiza kura za watu ambao hawajaenda kupiga kura sababu wanakuwa na record zote kutoka kwa DEDs ni serious
hata kila mwanachama wao anewekewa kiwango cha kuchangia cha shilingi 500 kwa mwezi hio ni 6000 kwa mwaka sawa na 24000 kwa miaka 4 kwa wanachama elfu 50 tu ni kama 1.2BNa hii kitu inajulikana mapema sn, wangeweza kujipanga kwa mwaka mzima wasikosa milioni 500 za kuwalipa mawakala nchi nzima
mkuu mawakala wa chadema moshi mjini hawapati mlo wa mchana hilo wafikishie akina mbowe acheni ubabaishajiKwa hivi tunavyosema hakuna wakala anayelipwa kama wa Chadema, hao wa ccm wanapewa msosi na ahadi kibao za uongo
CCM kuna mafisadi, wafanyabiashara wanalazimishwa kuchangia, wakuu wa idara, DEDs, DCs, DASs, RASs, RC, CEOs, wabunge, madiwani n.k, pia pesa zinachotwa kusupport uchaguzi kutoka serikali kuu, vote ya Ikulu haina auditing, per day wanalipwa 40,000 ni taarifa za kweli sababu ninazo za kutosha kusema hivyo.Kwa hivi tunavyosema hakuna wakala anayelipwa kama wa Chadema, hao wa ccm wanapewa msosi na ahadi kibao za uongo
Yap inawezekana kabisa, pia chama kijipange kuwa na vyanzo vya mapato nje na ruzuku inawezekana kabisa, hata kuwa na kumbi zao, apartments n.khata kila mwanachama wao anewekewa kiwango cha kuchangia cha shilingi 500 kwa mwezi hio ni 6000 kwa mwaka sawa na 24000 kwa miaka 4 kwa wanachama elfu 50 tu ni kama 1.2B
hata ruzuku zinawatosha ni usimamizi mbovuYap inawezekana kabisa, pia chama kijipange kuwa na vyanzo vya mapato nje na ruzuku inawezekana kabisa, hata kuwa na kumbi zao, apartments n.k