Kumbe inawezekana ukaishi tanzania na ukawa tajiri ehe?Ndio
Bado aiseeHivi amesharudi kutoka kwa wanaume wake mabeberu!?
Walishasema sumu huwa haijaribiwiMbona sasa hivi huko Chadema mnateka na kuua wanachama wenu wanaokuwa kinyume na Mwenyekiti wa maisha?
Hivi kwa jinsi ulivyo tu siamini kama unao uwezo hata wa kutambua hotuba nzuri na mbayaAna busara gani?
Rejea hotuba yake mbovu duniani
Mzee Mbowe si ataendelea kuzitafuna kupitia maandamano uchwara?Yap inawezekana kabisa, pia chama kijipange kuwa na vyanzo vya mapato nje na ruzuku inawezekana kabisa, hata kuwa na kumbi zao, apartments n.k
kuwaongoza.Busara ,weledi na utulivu wa mama ni sfa ambazo lissu hana na hakuzaliwa nazo mkuu(bahati mbaya)
Toka awamu ya kwanza mmekuwa mkifanya majaribio ya hiko kiti mpaka sasa....Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Yuko sahihi kabisa.Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi.
Amesema Wakala hapaswi kusema anamwachia Mungu huku akiona utaratibu unakiukwa, Lissu amesisitiza kwamba Mungu hahusiki na Chaguzi hivyo kumuachia yeye achukue hatua kwenye wizi wa kura ni kumsingizia tu.
Katika kusisitiza hoja yake hiyo Lissu amedai kwamba, ndani ya kituo cha kura ni Ubaya Ubwela, na kuamsha Shangwe Ukumbini.
View attachment 3123321View attachment 3123322
Kama ambavyo misukule ya mzee Mbowe inaona watanzania hatuna akiliCCM huwa wanaona wana haki zaidi kuliko watu wote asee
Wameambiwa wakunje ngumi inatosha wao ni makamandaπββοΈπββοΈπββοΈchadema toeni huduma ya chakula cha mchana kwa mawakala wenu vituoni sio ubinadamu kumshindisha wakala kituoni kuanzia saa 2 hadi 12 jioni pasipo walau chochote kitu tumboni
Mkuu umesahau huyu jamaa alishakaa kwa muda kule na kuna mambo mengi sana zaidi ya siasaBalozi wa Marekani hawezi kuwa na Rafiki maskini ππ
Acha kupotosha ,kama makamu mwenyekiti chama kimeshinda kumpatia usafiri sembuse hawa vilaza wasiojitambua aisee?CHADEMA wanakosea sn kusema watu wajitolee, mpe mtu hata elf 5 tu kwa siku kwa siku 10 ni 50 kitu ambacho wanaweza kabisa
Watu huwa wanaruhusiwa kuingiza chakula katika vituo vya kupiga kura?chadema toeni huduma ya chakula cha mchana kwa mawakala wenu vituoni sio ubinadamu kumshindisha wakala kituoni kuanzia saa 2 hadi 12 jioni pasipo walau chochote kitu tumboni
Mbona tunaongozwa na vichaa tangu 2015?Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Ujumbe wako umefika, na tutachunguzaMkuu Erythrocyte strategies ni nzuri sana lakini Mawakala wanapata tabu sana hakuna Chakula, maji hata posho. Nimepita kata ya Makumbusho kuangalia mbona Mawakala qa CCM wanakula Supu Chipsi na Mishikaki, Juice, soda na maji kwanini mawakala qa Chadema hata maji ya kunywa wanajitegemea ?
Na wanafanya kazi kwa kujitolea sasa wanapoona wenzao wanapata mahitaji ya lazima kwa wakati na posho huoni kama inaelemea sana hii ishu ?
Wengi tu wamekaa sana kule akina January, Nyalandu, Nassari, Masha, Sugu, Lisu, Mo Dewji nk....nk ππ₯Mkuu umesahau huyu jamaa alishakaa kwa muda kule na kuna mambo mengi sana zaidi ya siasa
Haijalishi ikiwa tayari kishazuia WiziHiyo ni aina ya wakala atakayeishia mahabusu π
Ruzuku ni ndogo sn 106M kwa mwezi ukitoa mishahara ya watendaji nchi nzima, matumizi n.k pale hakuna kitu, CCM wanapokea ruzuku zaidi 3B kwa mwezi lakini bado wana vyanzo kama viwanja, kodi kwenye majengo yao, michango ya lazima na pesa wanazochukua serikalini kwa wizi lakini bado kuna njaa ya kutosha.hata ruzuku zinawatosha ni usimamizi mbovu