LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa maana hii inawezekana na upinzani nao wakipata nafasi wataanza kwanza kukijenga chama kiuchumi kabla ya kuanza kuijenga nchi
 
Patachimbika
Patachimbika na nani? Wewe kwenye maandamano tu uliingia mitini ukamwacha Mwenyekiti na Binti yake wakisondekwa lockup. Wewe sikuamini tena unachosema huwa humaanishi kabisa.
 
Nyinyi ndio mnakula hiyo ruzuku ya CDM lazima utetee usiku na mchana.
 
Vijijini kila mtaa Tanzania mmejipanga?
Awareness wanayo ?
Confidence wanayo ?
Au ndio wanaogopa polisi akiwawmbia tupishe anapisha anaenda nje wakati haipaswi kuwa hivyo .
 
Patachimbika na nani? Wewe kwenye maandamano tu uliingia mitini ukamwacha Mwenyekiti na Binti yake wakisondekwa lockup. Wewe sikuamini tena unachosema huwa humaanishi kabisa.
Wewe mamluki ndio wa kuniamini mimi? Kila siku mnapanga kuniloga leo uniamini!
 
Mimi ningekuwa chama cha upinzanzani ningeandika proposal/write up nzuri Nikapeleka nchi wahisani kupitia Office za balozi zao nchini,
Kuomba financial assistance/hisani ya kwenda kuweka multiparty and political awareness vijijini interior huko.
Mną kiwa na mchanuo wenu.
Mnatakiwa muwe mmeshafanya feasibility study ya kutosha kupitia timu zenu.
Mnatakiwa kujua wastani wa posho kwa kila night ya mtoa elimu.
Na kujua kwa wastani mtahitaji WAT-u wangapi, timu ngapi ktk kila kata wenye wastani wa vitongoji au mitaa kadhaa.
Mnaanza kwa ukanda hadi ukanda.
Kila ukanda mnaweka phase yake.
Mnatakiwa mtumie personnel ambao mna waamini ni honest na ambao watakuwa wanaifanya kazi sio kwa posho bali kiuzalendo.
Mtapanga kiasi cha fedha cha kulipa per night ambacho ni reasonable kwa mtu kujikimu chakula na makazi mbali na nauki.
mtachukia takwimu kila mkoa una wilaya ngapi, kata, Tarafa , Mitaa , vitongoji, kisha mnafanya tathimini Halafu mnajipanga kwenda zone nyingine.
Wafadhili watawasaidia mkiwa na hoja.
Na muoneshe manufaa yake yatakuwa yepi?
Mfano Kukuza democracy, awareness, elimu kwa Mpiga kura , kujua Viongozi ni Viongozi na sio watawala.
Kujua Viongozi tunawachagua ili watutumie kwa mujibu wa Katiba , sheria na miongozo mbalimbali .
Kujua nini maana ya uongozi wa kisheria.
Kujua nini maana ya ufisadi.
Kujua rasilimali za Taifa ni mali ya wananchi na sio kiongozi awaye yote.
Kujua uwakilishi wao kupitia mbunge .
Kujua haki na wajibu wao kila mwananchi.
Kujua thamani ya kutunza amani tulinayo.
Kujua kuwa amani ni tunda la haki.
Kujua wajibu wa Viongozi kuwa sio hisani na kujihalagaza chini ajapo kiongozi ni kujichoresha ujinga na upumbavu kichwani .
Kuhimiza kuendelea kufanya kazi kwa bidii .
Kujua haki na wajibu wa mwananchi kto nchi yake
N.k

pia kutakuwa na gharama za kama vile mziki, band ili kuvutia Watu kuja kuwasikiliza , vionjo fulani.
 
Kijijini hali bado,
Imagine bado wanaogopa polisi,
Wakati polisi ni mtumishi wa mwananchi.
Kuwa polisi ni mgawanyo wa majukumu tu, mwingine Mwalimu , mwingine Mkulima , daktari, nesi, fundi , dereva , Mamalishe n.k
Sote tunategemeana na lazima tueheshimiane na sio kuogopana.
 
Hatajafukia hatua ya kuwa na rais ambae mdomo wake hauna break.
Hujamuana akiwa ofisini yupo smart. Ni kama Magufuri hivi alichokuwa anaongea akiwania kiti na kunadi makada wake akina Gwajima
 
CATHERINE RUGE AWALAZA CHUMBA KIMOJA MBOWE NA SALUM MWALIMU

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuzama kwenye mgogoro wa ndani unaochochewa na mahusiano tata ya kimapenzi baina ya viongozi wake wakuu.

Mapenzi haya yameleta mfarakano mkubwa katika uongozi wa chama, hali inayotishia kuathiri mustakabali wa kisiasa wa CHADEMA mbele ya wapiga kura.

Habari za ndani zinadokeza kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) Taifa, Catherine Ruge, aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, na wawili hao wamejaliwa kupata mtoto mmoja.

Hata hivyo, mahusiano yao yamefifia huku Mwenyekiti wa chama, Freeman Mbowe, akihusishwa kuwa mpenzi mpya wa Catherine, jambo ambalo limezua uhasama mkubwa na kuzidisha mgawanyiko ndani ya chama.

Viongozi wanasema kuwa mgogoro huu wa mapenzi umemuharibia Salum nafasi yake ya ushawishi, huku chama kikimshuku kuwa huenda anapanga kujiunga na CCM kutokana na kusifia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan.

Kutengwa kwake kisiasa kumekuja na matokeo makubwa, kwani mara kadhaa amewekwa pembeni kwenye vikao vya maamuzi vya CHADEMA, huku ikielezwa kwamba hata hoteli anayofikia Mbowe haimruhusu Salum kuingia, ikitoa nafasi kwa Mbowe na Catherine kufurahia uhusiano wao bila kizuizi.

Migogoro ya aina hii si tu inachochea mgawanyiko bali pia inapoteza imani ya wanachama na umma kwa ujumla.

Badala ya kuimarisha upinzani dhidi ya CCM, viongozi wa CHADEMA wanajihusisha na migogoro binafsi inayochochea fitina na usaliti.

Ikiwa hali hii haitadhibitiwa, chama kinaweza kuendelea kudhoofika, kikikosa umoja na dira, na hatimaye kupoteza nafasi yake kama mpinzani imara wa kisiasa nchini.
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    55.4 KB · Views: 1
Msitegemee CCM kuleta awareness sababu ujinga wa wananchi walonao na kukosa kujitambua wao ndio Mtaji wao na ndio nafuu yao.
Mjinga akielevuka mwerevu huwa mashakani.
Alolala usimwamshe usije ukalala wewe.
Lakini wanapaswa kujua kwa kadiri nyakati zinavuobadilika kuna mabadiliko huwezi kuyaepuka.
Sasa hivi hata vijijini kuna mwamko mkubwa ukilinganisha na zamani.
Kila siku wanapata kujitambua.
Woga na ujinga wa kuzani Viongozi ni munguwatu unaisha.
Kiongozi atakiwa kuheshimiwa na sio kuogopwa.
Na heshima ni kwa mkubwa na Mdogo .
Kila binadamu anastahili kuheshimiwa bila kujali tofauti yoyote kwa mujibu wa haki za binadamu.
 
Hujamuana akiwa ofisini yupo smart. Ni kama Magufuri hivi alichokuwa anaongea akiwania kiti na kunadi makada wake akina Gwajima
Mzee mdomo ukishakuwa mchafu haijalishi uko wapi.Huyu kiumbe hatukatai kuwa anazo akili nyingi ila amekosa sana break.
 
Muwe na mipango mikakati mfano miaka 2-3 hadi mitano hivi.
Vision yenu ni ipi?
Mission je ?
Targets ?
How to archive?
Activities?
Budget ?
Source of finance?
Rizuku ni kiasi gani?
Nasikia hakuna uwazi sana juu ya hilo Sijui ni kweli?
Rizuku inafanya kazi gani na gani?
Na ijulikane wanachama na public tujue .
CAG report iseme.
Hesabu za political parties zinatakiwa published kwenye government gazette na vyombo vya habari tuone uwazi.
 
umejiunga jf j5 ili kutumikishwa kwenye laana ya uongo ili upate nini?
 
Kwa CDM ni ngumu kwa maana viongozi wakuu wa chama wengi wao wanaamini kataika siasa za matukio zaidi .
 
Ingekuwa sio cha kufanyia majaribio ccm wasinge teuwa vichwa maji wawili kuwania uraisi 2015. Na vichwa maji hao wamekuwa maraisi. No wote kwa wakati tafauti mmoja Kawa jiwe, na mwingine Kawa chura badala ya kuwa raisi.
Kwa akili yako unaona magufuri hakuwa na sifa za kuwa rais kwel
 
Nyinyi ndio mnakula hiyo ruzuku ya CDM lazima utetee usiku na mchana.
Naona siku hizi wamepunguza kukusanya maokoto kwenye mikutano yao,lazima kuna issue hapa sio bure
 
Reactions: UCD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…