Tundu Lissu atakuwa mtu wa Mwisho kupokea Hela ya CCM na hapo ndipo CHADEMA itazikwa rasmi na mibono kaburi pembeni!

Tundu Lissu atakuwa mtu wa Mwisho kupokea Hela ya CCM na hapo ndipo CHADEMA itazikwa rasmi na mibono kaburi pembeni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tundu Lisu hana Bei pamoja na Mapungufu mengi tu aliyonayo

Siku ukiona Tundu Lisu amepokea Hela ya CCM na ikathibitika Ujue Siku hiyo ndio Chadema imezikwa rasmi

Kimsingi Chadema imeshakufa baada ya Mbowe kuuvaa Mtego wa CCM Kwenye ile issue ya Ugaidi kilichobaki ni mazishi yake tu na atakayeamua izikwe Machame au Ikungi ni Tundu Antipas Lisu

Ahsanteni sana 🐼
 
1. John Momose Cheyo.
2. James Mbatia -(alikuwa)
3. Prof. Ibrahim Lipumba.
4. Chadema (.....)
5. ACT (......)
 
Back
Top Bottom