Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',
Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais wangesimika mgombea mwaka 2025/30 maana ni kipindi ambacho wagombea wote watakuwa wapya.
Kwa sasa watapoteza muda na kelele zisizo na msingi. Uwingi wa washangiliaji majukwaani siyo kura Bali mioyo ya watu ndio kura ambazo zitazolewa mapema na JPM.
Tundu Lisu huyu huyu mwenye wapiga kura wa Kenya wasio Na vitambulisho vya mpiga kura. Tundu Lisu Huyu Huyu ambaye Siku hizi anaitwa mgombea wa EU, ni bora cdm ingekuwa imempitisha hata Mch. Musigwa au yule Profesa.