Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atashindwa saa 3 asubuhi

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,683
Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',

Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais wangesimika mgombea mwaka 2025/30 maana ni kipindi ambacho wagombea wote watakuwa wapya.

Kwa sasa watapoteza muda na kelele zisizo na msingi. Uwingi wa washangiliaji majukwaani siyo kura Bali mioyo ya watu ndio kura ambazo zitazolewa mapema na JPM.

Tundu Lisu huyu huyu mwenye wapiga kura wa Kenya wasio Na vitambulisho vya mpiga kura. Tundu Lisu Huyu Huyu ambaye Siku hizi anaitwa mgombea wa EU, ni bora cdm ingekuwa imempitisha hata Mch. Musigwa au yule Profesa.
 
Kama Tundu Lissu siyo tishio, ni kwanini nyinyi maccm, mnakesha kutafuta mbinu ovu ili kumkwamisha asiwe mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya Chadema?
 
CCM mnatia huruma sana. Ila jueni tu nyie ni Chama pinzani kuanzia hapo October 2020
 
Uwe unakula baada ya kuvuta bangi.
 
Ndio maana umejiita mugabe mtu aliyekufa na kuzikwa na watu wachache sana uwanja wa kuaga ukiwa na wanajeshi tu tena wachache.
 
Yaani mkuu uzi wako una tittle nzuri kabisa, ila ulichoamua kuandika unajua mwenyewe.
 
Ccm inawakati mgumu sana, sasa inaelekea kuwa chama cha kigaidi soon, wanatumia gari za serikali ili kuteka wagombea wa upinzani.
 
Tumekusikia, nenda karekebishe pampasi naona imelowana. Shubaaaaamiiit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…