Pre GE2025 Tundu Lissu awapinga msasa Waandishi wa Habari kuelwkea Uchaguzi 2024/ 2025

Pre GE2025 Tundu Lissu awapinga msasa Waandishi wa Habari kuelwkea Uchaguzi 2024/ 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
20 September 2024

Chama cha siasa cha CHADEMA kilicho na ushawishi mkubwa leo kwa ajili ya hamu ya watanzania kufahamu mengi wamekusanyika kuongezewa maarifa ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=kNYzqMWbOGc

Tundu Lissu alikua anaongea katika mjadala kuhusu masuala ya demokrasia Tanzania, leo Septemba 20,2024, katika viunga vya Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM ...

Wakimsikiliza kwa umakini mkubwa waandoshi wa habari wameelezewa nafasi yao kama mhimili wa nne katika chujio la kueneza maarifa (check and balance ) ... ikiwemo wakati huu nchi inapoelekea kufanya uchaguzi wa 2024 na baadaye mwakani uchaguzi mkuu 2025 ..
 
20 September 2024

CHADEMA YAWAFIKIA WANAFUNZI WA SEKONDARI

Bila kuchoka ratiba ya leo 20 September 2024 CHADEMA iliona vyema kuitikia wito wa wanafunzi na waalimu wao

View: https://m.youtube.com/watch?v=5k_TjZlBEP4

Kupitia kiongozi mwandamizi wa CHADEMA wanafunzi wafaidika na nasaha alizotoa makamu mwenyekiti wa CHADEMA (bara) kamanda Tundu Lissu alipokaribishwa kuongea na wanafunzi wa sekondari kuhusu umuhimu wa,...
 
Nimeona elimu ile, Hakika Lissu ni moto
Kila kundi la kijamii katika umma la watanzania kwa sasa wanahamu kubwa kualika viongozi wa CHADEMA watoe muhadhara kutokana wameona wazi chama hiki cha CHADEMA kina mengi kwa ajili ya wananchi wote, tofauti na chama dola kongwe CCM ambacho kimekosa ushawishi kwa wananchi vijana kwa wazee wote masikio na macho matumaini yao yapo kwa CHADEMA
 
Hakika
 
moderators wasaidie kurekebisha silabi katika hiyo title ya hoja yako na itapendeza zaidi 🐒

Ni furaha kuona kada mtetezi wa CCM kupata mguso wa elimu hii ya uraia na kusoma kwa umakini ukasaidia marekebisho ya spelling katika jambo hili muhimu kwa jamii kupitia CHADEMA.
 
Ni furaha kuona kada mtetezi wa CCM kupata mguso wa elimu hii ya uraia na kusoma kwa umakini ukasaidia marekebisho ya spelling katika jambo hili muhimu kwa jamii kupitia CHADEMA.
mimi ni mwanadiplomasia mwandamizi, na mwanasiasa mtetezi wa demokrasia ya vyama vingi nchini,

na ndio maana nazungumzia na kushauri sana vyama vyote vya siasa Tanzania na Africa Mashariki 🐒
 
20 September 2024

Kamati Tendaji ya BAWACHA yajadili hali ya kisiasa nchini, na kutoa tamko

View: https://m.youtube.com/watch?v=CHLDXsznOO4

Kwa pamoja wameunga mkono tamko la tarehe 11 September 2024 pia kutoa maelekezo kwa wanawake wote nchini siku ya tarehe 23 September 2024 ....

Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA ni mojawapo ya baraza kubwa la wanawake siyo Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla na limewakusanya wanawake ili wawe sehemu ya kushiriki moja kwa moja ktk maamuzi na uongozi.

BAWACHA imekuwa bega kwa bega na wapo mstari wa mbele kuhakikisha sauti za wanawake zinasikika badala ya kuwa watazamaji kama ilivyo UWT jumuiya mojawapo ya chama dola kongwe CCM ambapo sauti ya UWT haisikiki katika masuala mazito ya nchini Tanzania ..
 
Nimeona elimu ile, Hakika Lissu ni moto
Wahenga husema kila jambo na wakati wake; lakini haya yanayofanywa na mtu mmoja wakati huu karibu kunapambazuka; haya ndiyo yangekuwa nguzo kubwa ya kupandia kama yangepangwa kufanyika tokea miaka mitano iliyo pita.

Hata hivyo wahenga husema "Better late than never".
Sasa basi, hii isiwe kazi ya mtu mmoja mashuhuri kama Lissu, hii ni kazi inayotakiwa kufanywa na viongozi wote toka juu hadi chini kwenye mashina.

Bahati iliyoje, kwamba Samia na CCM yake wamesaidia sana wito huu kwa wananchi.
Utumieni kwa makini zaidi.
 
Mripoti uandikishaji wapiga kura ktk daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa, mwepo tarehe 23 September 2024 kurusha live maandamano n.k

Habari kwa kina :

:FIRE: ASKOFU - "WAANDISHI WA HABARI WANA UTAPIAMLO WA ELIMU"

Wadau ktk mkutano ul8ofanyika Chuo Kikuu wasema zimebaki media za u chawa tu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=QwWufuJRBlc
Akichangia mada askofu huyo mhitimu wa digrii ya journalism pamoja na za fani zingine asema .....
 
20 September 2024

Chama cha siasa cha CHADEMA kilicho na ushawishi mkubwa leo kwa ajili ya hamu ya watanzania kufahamu mengi wamekusanyika kuongezewa maarifa ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=kNYzqMWbOGc

Tundu Lissu alikua anaongea katika mjadala kuhusu masuala ya demokrasia Tanzania, leo Septemba 20,2024, katika viunga vya Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM ...

Wakimsikiliza kwa umakini mkubwa waandoshi wa habari wameelezewa nafasi yao kama mhimili wa nne katika chujio la kueneza maarifa (check and balance ) ... ikiwemo wakati huu nchi inapoelekea kufanya uchaguzi wa 2024 na baadaye mwakani uchaguzi mkuu 2025 ..

Asante sana kwa bandiko hili, kwangu mimi ni darasa.
P
 
Back
Top Bottom