moderators wasaidie kurekebisha silabi katika hiyo title ya hoja yako na itapendeza zaidi π
View: https://m.youtube.com/watch?v=kNYzqMWbOGc
Tundu Lissu alikua anaongea katika mjadala kuhusu masuala ya demokrasia Tanzania, leo Septemba 20,2024, katika viunga vya Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM ...
Kila kundi la kijamii katika umma la watanzania kwa sasa wanahamu kubwa kualika viongozi wa CHADEMA watoe muhadhara kutokana wameona wazi chama hiki cha CHADEMA kina mengi kwa ajili ya wananchi wote, tofauti na chama dola kongwe CCM ambacho kimekosa ushawishi kwa wananchi vijana kwa wazee wote masikio na macho matumaini yao yapo kwa CHADEMANimeona elimu ile, Hakika Lissu ni moto
HakikaKila kundi la kijamii katika umma la watanzania kwa sasa wanahamu kubwa kualika viongozi wa CHADEMA watoe muhadhara kutokana wameona wazi chama hiki cha CHADEMA kina mengi kwa ajili ya wananchi wote, tofauti na chama dola kongwe CCM ambacho kimekosa ushawishi kwa wananchi vijana kwa wazee wote masikio na macho matumaini yao yapo kwa CHADEMA
moderators wasaidie kurekebisha silabi katika hiyo title ya hoja yako na itapendeza zaidi π
mimi ni mwanadiplomasia mwandamizi, na mwanasiasa mtetezi wa demokrasia ya vyama vingi nchini,Ni furaha kuona kada mtetezi wa CCM kupata mguso wa elimu hii ya uraia na kusoma kwa umakini ukasaidia marekebisho ya spelling katika jambo hili muhimu kwa jamii kupitia CHADEMA.
Kipi cha muhimu,tujadili silabi au ujumbe wa Lissu?moderators wasaidie kurekebisha silabi katika hiyo title ya hoja yako na itapendeza zaidi π
tutaelewana kweli?Kipi cha muhimu,tujadili silabi au ujumbe wa Lissu?
Wahenga husema kila jambo na wakati wake; lakini haya yanayofanywa na mtu mmoja wakati huu karibu kunapambazuka; haya ndiyo yangekuwa nguzo kubwa ya kupandia kama yangepangwa kufanyika tokea miaka mitano iliyo pita.Nimeona elimu ile, Hakika Lissu ni moto
Asante sana kwa bandiko hili, kwangu mimi ni darasa.20 September 2024
Chama cha siasa cha CHADEMA kilicho na ushawishi mkubwa leo kwa ajili ya hamu ya watanzania kufahamu mengi wamekusanyika kuongezewa maarifa ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=kNYzqMWbOGc
Tundu Lissu alikua anaongea katika mjadala kuhusu masuala ya demokrasia Tanzania, leo Septemba 20,2024, katika viunga vya Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM ...
Wakimsikiliza kwa umakini mkubwa waandoshi wa habari wameelezewa nafasi yao kama mhimili wa nne katika chujio la kueneza maarifa (check and balance ) ... ikiwemo wakati huu nchi inapoelekea kufanya uchaguzi wa 2024 na baadaye mwakani uchaguzi mkuu 2025 ..