masluphill
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 540
- 259
Mikataba minovu oliyo leta hasara tangu kuumbwa kwa Tanganyika mpaka Tanzania waliingia kina nani? ama mwajitoa ufahamu?Afe nani kwa matoi hayo - CCM iko level nyingine - acha LIssu aendelee kula mikataba ya kuuza nchi
Kiufupi tu hiyo ya chadema ni Adobe Photoshop imefanya yake,kama huna elimu ya hili swala ni pm nikupe maujanja. Naweza kukuedit hadi wewe nimukupakata na mkeo akasema kuanzia leo mi nawe Basi. Punguza ushamba mkuu.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
We are for Lissu 2020.Lissu ni mwana siasa mwenye ushawishi wa kidigital zaidi, Bonge la zawadi 2020 wewe ni Rais mwenye Sera Mbadala tumechoka na Sera za kibandidu
Ubelgiji ni nchi ndogo sana na kwasababu ya lugha, watz ni wachache sana wengi wao ni wa CCM na wametoa hilo bus kwa CHADEMA sio kwa Lissu. Gharama za kumpeleka Lissu na mkewe Marekani zingeweza kununua mabus mengi kakini mfadhili huchagua mwenyewe amsaidie nani. Kwa kuwa limenunuliwa litafika hapa kwa meli au litaendesha na dreva aliye huko. Watz wenye utu bila kujali itikadi tuwashukuru waliotoa msaada.Hahaaa roho inawauma wajinga tu ila Wtz wazalendo tumefurahi kuona Wtz wenzetu wanatambua mchango wa Chadema
Ipi fake mkuu?Umevurugwa
In God we trust
Tetetete tetetetet TeteteteHuyo ametawaliwa na wivu wa kijinga
In God we trust
Mtachonga sana kwani bombadier si,Zinauzwa mitandaoni kosa ni nini hapoIpi fake mkuu?View attachment 1044304View attachment 1044305View attachment 1044306
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Bado tu hujaungana na Lowasa aka mamvi? Ulipo tupo.
Aiseee!!Basi la ku edit PHOTOSHOP link yake hii hapa, hili ndo basi original lilikuwa uploaded mwaka April 2018, link yake hii hapa Chini..
scania touring de vip bus - Пошук Google
Hapo vipi kamanda?Lissu ni mwana siasa mwenye ushawishi wa kidigital zaidi, Bonge la zawadi 2020 wewe ni Rais mwenye Sera Mbadala tumechoka na Sera za kibandidu
Hawa jamaa wanaona watu mafala, wameona jamaa kapotea hasikiki wamemnunulia basi kutoka Google images..😀😀😀Aiseee!!