Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

Status
Not open for further replies.
Hivi jamii forum mnauwakika na hii taarifa au mnafanya upendeleo.Nyie huwa ampendi taarifa za kuediting.
 
Hivi jamii forum mnauwakika na hii taarifa au mnafanya upendeleo.Nyie huwa ampendi taarifa za kuediting.
Vipi bado hujajinyonga kwa mh Lissu kupatiwa basi la kuimarisha chama pendwa chadema?

In God we trust
 
Kamanda Mmawia tunaomba mrejesho kuhusu hili basi mbona hatulioni mitaani likifanya shughuli za kuimarisha chama?
 
Hili lazima litakuwa Korona. TL ni sehemu ya Corona Covid-19. Nilipogundua alitaka Watanzania tupigane na tubaguane ili iwe Rahisi kwa Wafadhili wake kunufaika na rasilimali nyingi zilizopo Tanzania, niliisha muona ni moja ya epidemic disease hatari kuliko hata Covid-19.
 
Dah...kwa mapenzi haya...TL akiwa Rais nchi itajaa neema...wazungu watajaa nchi nzima....wananchi wengi watajua kiingereza....yaani kama Sauz vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX160
 
Zawadi apewe lisu harafu gari liandikwe chadema!
Chadema ushamba utaisha lini? Sasa bus litawasaidia nini!
Mwezenu ccm katoa hela za mwenge ziende kwa corona nyie hata ofisi hamna! Unaonyesha basi, nisawa nakuoa huna shuka wala kitanda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…