Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Jamaa habahatishi!!Lissu ni Kisu kikali sana kwa utawala huu.
Aliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Kupona kwa mtu huyu ulikuwa mpango wa Mungu ili Tanzania ikombolewe baada ya Kikwete na Mkapa kuirudisha kuzimuHii kichwa Tanzania muzima hakuna!!
Aliesema nitaigeuza Tanzania kuwa kama Ulaya ni nani?
Kwa hiyo anapiga kampeni au anatafuta wadhamini?? CCM haina haja ya kampeni, maana Mambo aliyoyafanya Jpm ni kampeni tosha.Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa-Tundu Lissu.
Amerudi nchini kakuta kila TV station, magazeti, radio na kila mahali watu wanamtaja Magufuli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.
Kwa hiyo anapiga kampeni au anatafuta wadhamini?? CCM haina haja ya kampeni, maana Mambo aliyoyafanya Jpm ni kampeni tosha.
Basi ameshashinda, maana si atakuw Rais wa kuzimu??Kampeni ya kuzimu...
Huku moyoni unaumia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa akiongea kitu bila kumtaja Magufuli hawezi kabisa,!
Lisu bora wangeaacha tu aendelee na harakati za kisheria lakini kumuweka kwenye hiyo nafasi apambane na Magufuki ni kupoteza muda.