Uchaguzi 2020 Tundu Lissu huna cha kutufundisha kuhusu Rais Magufuli, ni bora ukajikita kunadi Ilani ya CHADEMA

Hata mapadre na mashehe katika ibada humtaja sana shetani bila kuchoka japo hitaji la ibada ni kumtukuza MUNGU ni kwa sababu shetaji ni kizuizi kikubwa cha binadamu kumtojua MUNGU. Sawa na Magufuli ni adui mkubwa kwa watanzania kutofikia hitaji la democracy.
 
Kwahiyo uwanja wa ndege wa chato ni uzushi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nikisema una akili kama yule jamaa anajiita jiwe kwako ni sifa au kebehi?
 
Ila utakuwa na mimba changa si kwa kuangaika huku!
 
Magufuli lazima asimangwe sawasawa maana Hoja ya ilani ya kwanza kabisa ni uhuru,sasa uhuru vs Magufuli ndio mazungumzo hapo
 
Ilani ya ccm ni mikojo?
 
Mkuu nakushauri usiwapangie watanzania,tar 28 wana jambo lao.
 
Wagombea wa CCM kama Tapeli Gwajima inabidi wacheze singeli na kufanya ujinga mwingine maana Sera hawana, Ilani haieleweki.

Kwa namba moja ndio kabisaa utasema waziri wa ujenzi.

Hao wabunge ndio pakachaa kabisaa nonsense.
Tutayafukua makaburi ya thread zenu baada ya tarehe 28 October, ili tuambizane🤣.
 
Tutayafukua makaburi ya thread zenu baada ya tarehe 28 October, ili tuambizane[emoji1787].
Serikali dhalimu na Dikteta huwa wanafanya nchi na wao kama serikali na kiongozi kuwa kitu kimoja Eti ukimkosoa dikteta umekosoa nchi Ukipinga sera za serikali, we msaliti wa nchi Kiuhalisia unaweza kupinga serikali, kiongozi na kwa kufanya hivyo ukawa mzalendo
 
Unaongea kwa niaba ya nani? TL endelea hivyo hivyo. Umemfunua Magufuli. Kumbe amempa mkataba wa kujenga Chattle airport mtu waliyeoa nyumba moja. Sikulijua hili. Asante TL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…