Pre GE2025 Tundu Lissu: Ili CHADEMA iaminike, ipendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni lazima ipate Nahodha Mpya, kwa sasa haiaminiki na Jamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
 
Angejiuzulu ndio Chadema ingekufa kabisa 😂
 
Angejiuzulu ingebadilisha nini? Ni kweli chadema haiminiki anymore, wether lissu awepo or not
 
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Lissu hakuchukua form ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti bali alitangaza tu nia ,na baada ya kuona Mbowe anamzunguka ndipo akaamua kumpandia huko huko kwenye uenyekiti.
 
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Mburula kama mburula
 
Labda kama u Mugabe ni dili:

Ggx5Zjka0AAcmhK.jpeg
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi

Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya

Mlale Unono 😄
Unachikitafuta utakipata!
 
Lissu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema .
Sawa, akishindwa akaungane na vyama vingine au aanzishe cha kwake na wafuasi wake tuone atafika wapi.
Uongozi sio one man show, lazima ukubali mchango wa kila mmoja. Anayekosea aadhibiwe kulingana na kanuni na taratibu za chama na sio kubwatuka kwenye vyombo vya habari.
 
Basi waende huko inakoaminika.
Unakuwaje kiongozi kwa miaka 5 wakati unaona chama hakiaminiki. Si ujiondoe tu utunze heshima yako!
Ujinga walioifanya akina Ntobi na Yeriko Nyerere kumvua nguo Mbowe Kijasusi zaidi ndio umeiua kabisa Chadema

Hata mwendawazimu hawezi kuiamini Chadema ya Mbowe 😂
 
Back
Top Bottom