johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Angejiuzulu ndio Chadema ingekufa kabisa πAngejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Angejiuzulu ingebadilisha nini? Ni kweli chadema haiminiki anymore, wether lissu awepo or notAngejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Lissu hakuchukua form ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti bali alitangaza tu nia ,na baada ya kuona Mbowe anamzunguka ndipo akaamua kumpandia huko huko kwenye uenyekiti.Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Kasikilize hotuba yake ya awali wakati anachukua form. Tatizo mmeshikwa hakili ndio maana mnaburuzwa tu bila reasoningLissu hakuchukua form ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti bali alitangaza tu nia ,na baada ya kuona Mbowe anamzunguka ndipo akaamua kumpandia huko huko kwenye uenyekiti.
Wewe ndiye unaburuzwa na Sultan MboweKasikilize hotuba yake ya awali wakati anachukua form. Tatizo mmeshikwa hakili ndio maana mnaburuzwa tu bila reasoning
Basi waende huko inakoaminika.Angejiuzulu ingebadilisha nini? Ni kweli chadema haiminiki anymore, wether lissu awepo or not
Sasa wacha akose kura tukizike kabisa chama.Angejiuzulu ndio Chadema ingekufa kabisa π
Mburula kama mburulaAngejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Mbona maccm mna hofu sana na Lissu kuwa mwenyekiti wa chadema hadi mnamsadia Mbowe ambaye siku zote mlikuwa mnasema ni kinga'ang'anizi?Basi waende huko inakoaminika.
Unakuwaje kiongozi kwa miaka 5 wakati unaona chama hakiaminiki. Si ujiondoe tu utunze heshima yako!
Lissu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema .Sasa wacha akose kura tukizike kabisa chama.
Angejiuzulu nafasi ya makamu mapema ningeelewa hii hoja yake. Pia asingekuwa amechukua form ya kugombea nafasi ya makamu ningeelewa zaidi hii hoja yake.
Kilichobaki sasa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa yeye anauwezo mkubwa kuliko wengine. Na akifanikiwa kuwa kiongozi kwenye hicho chama chao atapoa kama ilivyokuwa kwa kiongozi wa TLS.
Mara nyingi ukiwa nje ya ulingo unaona vizuri sana ila ukishaingia kwenye mfumo utaona tofauti na unavyoona ukiwa nje.
Unachikitafuta utakipata!Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate Nahodha mpya
Mlale Unono π
Sawa, akishindwa akaungane na vyama vingine au aanzishe cha kwake na wafuasi wake tuone atafika wapi.Lissu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema .
Ujinga walioifanya akina Ntobi na Yeriko Nyerere kumvua nguo Mbowe Kijasusi zaidi ndio umeiua kabisa ChademaBasi waende huko inakoaminika.
Unakuwaje kiongozi kwa miaka 5 wakati unaona chama hakiaminiki. Si ujiondoe tu utunze heshima yako!
#johnthebaptist kuna simbilisi inakuchimba mkwala huku.Unachikitafuta utakipata!