johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye Kitaaluma ni Mwanasheria anesema Katiba ya CHADEMA inakataza Kabisa Wagombea kutoa fedha wakati wa uchaguzi Kwa sababu yoyote ile
Aidha Katiba imekataza kutoa Rushwa ya ngono au mahusiano ya kingono Ili kujipatia Faida ya kuchaguliwa au kuchagua
Source Jambo TV
Happy New Year 😄
Aidha Katiba imekataza kutoa Rushwa ya ngono au mahusiano ya kingono Ili kujipatia Faida ya kuchaguliwa au kuchagua
Source Jambo TV
Happy New Year 😄