ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,020
- 2,716
Tangu ugeuke chawa mama yako amepoteza kabisaWakati usiku alikuwa anakesha na waganga wakimchanja chale na kumuosha dawa makaburini
Mganga uko wapi watu waje kupata hudumaMtu anataka awe Rais anachanjwa chale mpaka kwenye exhaust pipe
Mambo ya mvuto na peleka CCM huku hatuna huo ujinga tunaangalia uwezo wa mtuKiukweli Lissu HANA mvuto wa Mwenyekiti. Bora angelibaki kwenye Umakamu tu!
Waganga wana kazi, unapiga chale sewage system huku pipe inatoa upepo kama scania inabadili giaMganga uko wapi watu waje kupata huduma
Lissu HANA UWEZO wowote wa kuwa Mwenyekiti. Time will tell.Mambo ya mvuto na peleka CCM huku hatuna huo ujinga tunaangalia uwezo wa mtu
GOD IS GREAT ALL THE TIMEMtumishi wa Mungu Tundu Lissu katika Misa ya Shukrani kijijini Mahambe Ikungi hakika Bwana wa Vita hajawahi kushindwa vita yoyote,
View: https://www.youtube.com/live/nZHlJViFXM8?si=j15DzdwkbESXm_sTNanachojua Mungu ananguvu zaidi ya nguvu za wanadamu,
Kanisa moja takatifu la Mitume
Sasa si na ww mmoja wapo, kumbe unatoa huduma na husemiWaganga wana kazi, unapiga chale sewage system huku pipe inatoa upepo kama scania inabadili gia
Sasa misiba kwani anaishi huko?Nimemsikia mzee mmoja akihojiwa anasema wananchi wa huko wanalalamika Mh huwa hana ushirikiano na watu wa kwao, hata kwenye misiba hashiriki!!
Usitulee mambo yenu ya kina James delicious hapaKiukweli Lissu HANA mvuto wa Mwenyekiti. Bora angelibaki kwenye Umakamu tu!
Hàta umakamu alipewa kura za huruma tuu, anafaa kuwa na akina Jebra Kambole kwenye korido za mahakamani daily.Kiukweli Lissu HANA mvuto wa Mwenyekiti. Bora angelibaki kwenye Umakamu tu!
Unayapenda sio?Usitulee mambo yenu ya kina James delicious hapa
Ova
Alikuwa Rais wa TLS hadi leo wanajuta Mawakili wale wasomi.Hàta umakamu alipewa kura za huruma tuu, anafaa kuwa na akina Jebra Kambole kwenye korido za mahakamani daily.
Ile Ijumaa Mwenyekiti Akiwa Kibaigwa, DodomaWewe uko wapi?
We mwanamke kwanini unatoa siri za mumeo? Ndiomaana sasahivi tunakataa kuoa Kwa dizaini hii ya wanawakeWakati usiku alikuwa anakesha na waganga wakimchanja chale na kumuosha dawa makaburini
Toka alivyokuwa Mbunge wa huko!!Sasa misiba kwani anaishi huko?