Pre GE2025 Tundu Lissu kaukwepa Ule Mtego wa " Hata mtaani Kwake Chadema ilikataliwa yeye akiwepo"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siasa ni Sayansi

Fikiria kama Tundu Lissu angejiandikisha kupiga Kura mtaani Kwake Iwe Tegeta au Kijijini Ikungi hilo zengwe ambalo lingeuandama Mtaa huo

Halafu 2025 ingesemekana TAL hakubaliki kuanzia Kijijini Kwake

Siasa za Afrika bado ni za Bahati Nasibu na hapo Lissu ameupiga mwingi ndio sababu unasikia Vilio kila Kilinge " hajajiandikisha" "hajajiandikisha" " hajajiandikisha" 😵😵🤔

Ahsanteni sana 🐼
 
ZENGWE LIPI? Samia amejiandikisha wapi? ana zengwe gani? Mbowe? Mpango? wewe vipi?
 
Mtoa mada hawezi kumaliza siku bila kumtaja TAL hii ni hatar sana kwa mtu mzima mwanaume
Hapa ulitaka kusemaje labda ambacho ni habari kwako ?
 
Mtoa mada hawezi kumaliza siku bila kumtaja TAL hii ni hatar sana kwa mtu mzima mwanaume
Hapa ulitaka kusemaje labda ambacho ni habari kwako ?
Na wewe huwezi kutulia bila Uzi unaomuhusu Tundu Lissu!! ANZA KUJISHANGAA mwenyewe
 
na jina lake halipo hata kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, na hakuwa kujiandikisha.

kumbe hiyo ndiyo tabia yake bana kukwepa kujiandikisha, halafu baada anaanza kubweka bweka ng'we ng'we kumbe hana kitambulisho cha kupigia kura 🐒
 
Kaweka mpira kwapani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jo nyuzi zako Huwa zinafurahisha..
 
ZENGWE LIPI? Samia amejiandikisha wapi? ana zengwe gani? Mbowe? Mpango? wewe vipi?
Tundu mjanja, hata ushoga anaupigia chapuo kiaina . Mkwanja anavuta mwenyewe hana mpango kihiiivyo na CHADEMA🤣🤣🤣
 
CCM ni shetani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…