Tundu Lissu kufutiwa mashtaka yote na Serikali, Katiba Mpya inahitajika

Tundu Lissu kufutiwa mashtaka yote na Serikali, Katiba Mpya inahitajika

Khadija Mtalame

Senior Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
185
Reaction score
715
Habari wanabodi,

Nimekuwa nikifatilia siasa za ndani na nje ya Tanzania yetu hii.kiukweli juzi kitedo cha Mama kufuta mashtaka yote ya TAL ni ishara kwmba tuna katiba mbaya kuwahi kutokea ,amemruhusu aje Tz kama kaweza kufuta mashtaka thats means anaweza mpa yoyote yule mashtaka.

Tubadili mtazamo #Bila katiba#mpya#hatuwezi fika

#nawasilisha
 
Katiba iliyopo ulishaisoma, kuielewa na kuimaliza yote? Maana tunapendasana kutamka KATIBA MPYA, lakini je, iliyopo tumeisoma, tumeielewa yote?
 
Katiba iliyopo ulishaisoma, kuielewa na kuimaliza yote? Maana tunapendasana kutamka KATIBA MPYA, lakini je, iliyopo tumeisoma, tumeielewa yote?
Ili tubadili sheria Fulani lazima tuhakikishe Watanzania wote wameisoma na kuielewa? Hivi vichwa vyenu sijui mmepakia nini?
 
Back
Top Bottom