Khadija Mtalame
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 185
- 715
Lissu "TUMEMFUTIA MASHITAKA" - Samia.Mashtaka kafuta DPP!
Ili tubadili sheria Fulani lazima tuhakikishe Watanzania wote wameisoma na kuielewa? Hivi vichwa vyenu sijui mmepakia nini?Katiba iliyopo ulishaisoma, kuielewa na kuimaliza yote? Maana tunapendasana kutamka KATIBA MPYA, lakini je, iliyopo tumeisoma, tumeielewa yote?
Short and clearhabari wanabodi,
....
Kwa amri ya naniMashtaka kafuta DPP!
Amri ya katiba!Kwa amri ya nani