Tetesi: Tundu Lissu kuitangaza Operesheni ya "Kaa Chonjo, Saa Mbaya" itakayoibua na kufurusha Mchwa wote kwenye Halmashauri!

Tetesi: Tundu Lissu kuitangaza Operesheni ya "Kaa Chonjo, Saa Mbaya" itakayoibua na kufurusha Mchwa wote kwenye Halmashauri!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimepenyezewa muda huu kwamba Tundu Lissu atatangaza Operesheni ya kuibua Ufisadi kwenye Halmashauri zote nchini.

Hivyo Wakurugenzi ambao ndio Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wanaambiwa "Kaa Chonjo Saa Mbaya".

Ngoja tuone maana Chongolo na Mjema nao wamewaka sana kule CCM.

Kaa Chonjo Saa Mbaya by TAL.
 
Tunategemea maneno kama hayo.
Ana Hasira, amekwaruzika. Aje atuonyeshe huo Udikteta ambao ameukataa na Kuimba kimataifa.

Manake maneno hayo ndio sura ya Udikteka.
 
Nategemea upinzani kuchukua viti zaidi ya 100 uchaguzi ujao, mafisadi mjiandae
 
Tunategemea maneno kama hayo.
Ana Hasira, amekwaruzika. Aje atuonyeshe huo Udikteta ambao ameukataa na Kuimba kimataifa.

Manake maneno hayo ndio sura ya Udikteka.
Aaagh udikteta sasa hivi haupo naona kama unaota asbui hii, lile lidikteta JPM liliishakufa nao,

...hacho ndoto zako za mchana.

Labda wewe ndio itutajie huo udikteta
 
Ila mambo mengine basi tu, uchanga wa kisiasa ni sawa janga kwenye Taifa hili.
 
Hatare.

Ongeza Matusi Koleza

Ndio Ujio huo

Ninesema nahamia Burundi, Unanifuata fuata na Dubwasha la Zambarau.

Unaniogopesha.

Ndio kaa Chonjo hiyo? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom