Tetesi: Tundu Lissu kuitangaza Operesheni ya "Kaa Chonjo, Saa Mbaya" itakayoibua na kufurusha Mchwa wote kwenye Halmashauri!

Nimepenyezewa muda huu kwamba Tundu Lissu atatangaza Operesheni ya kuibua Ufisadi kwenye Halmashauri zote nchini...
Nimepenyezewa muda huu[emoji23] acha uzushi Jo huyo wa kukupenyezea habari hatoki CHADEMA hata siku moja huyo ni chawa mwenzako
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hii ni nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…