Tetesi: Tundu Lissu kukutana na rais mwenza wa European Parliament Intergroup on LGBT rights, Danielle Viotti

Tetesi: Tundu Lissu kukutana na rais mwenza wa European Parliament Intergroup on LGBT rights, Danielle Viotti

Status
Not open for further replies.

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

kurunzi letu limenasa habari za mkutano wa siri unapangwa kuwakutanisha Ndugu Tundu Lissu na Danielle Viotti.

Danielle Viotti ni rais mwenza wa taasisi ya wabunge katika bunge la ulaya wenye kutetea maslahi ya mashoga na ndoa za jinsia moja ijulikanayo kwa kimombo kama ''European Parliament Intergroup on LGBT Rights'', kundi hili linajishughulisha na kutetea haki za mashonga ndani na nje ya jumuiya ya ulaya.

Hadi sasa hatujui kwa haraka wabunge hao wa ulaya wanataka kujadili maslahi gani na Tundu Lissu japo mrengo wa kundi hilo unaeleweka. Nimejiuliza maswali yafuatayo baada ya kupenyezewa habari hizo;

1. Je wabunge hawa wa ulaya wana makubaliano na wabunge wa Chadema?
2. Je wanakutana na Tundu Lissu binafsi na makubaliano yatabaki kuwa binafsi?
3. Je wanataka kufadhili harakati za Tundu Lissu na Chadema?

mlolongo wa maswali ni mrefu sana, nitaweka vinasa sauti eneo la tukio na kuwaletea lolote litakalojadiliwa.
 
Lissu sio mshamba kama wewe alichosema ni Lisbians tunawakarubisha Tanzania,wakikutana na Madodoki yetu huenda wakanadili mawazo
 
Juliana Shonza anapata taabu sana, kwa nini lakini?
(Hii haihusiani na thread hii, ila kws wenye ufahamu wa juu tuu)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom