Tundu Lissu kumbuka Yesu alipofufuka alimrudisha kundini Petro

Tundu Lissu kumbuka Yesu alipofufuka alimrudisha kundini Petro

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Vivyo hivyo waweza kumsamehe Dr Slaa kama ametubu

Mimi siyo mwanachadema ila ni mdau wa SIASA za Haki

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lissu.

Ahsanteni sana 😀
 
Kipindi hiki CHADEMA hawataki kirusi chochote
 
Vivyo hivyo waweza kumsamehe Dr Slaa kama ametubu

Mimi siyo mwanachadema ila ni mdau wa SIASA za Haki

Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lisu

Ahsanteni sana 😀
Muda huo Yuda alikuwa wapi
 
Sasa ikiwa Lissu amekiri kuwa kumleta Lowwassa ilikuwa dhambi na akaomba radhi.

Dr Slaa atubu nini ikiwa alikataa kumsafisha Lowwassa na kuondoka CDM?

Kwako Erythrocyte
 
Back
Top Bottom