Pre GE2025 Tundu Lissu: Kusimamisha mgombea wa Urais Zanzibar ni kuisaidia CCM. Ni vyema tuungane na ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Akiwa kwenye mdahalo siku ya leo, Lissu ametoboa siri kwanini CHADEMA huwa hawasimamishi mgombea wa Urais kwenye Uchaguzi wa Zanzibar.

Lissu amesema kuwa CHADEMA hawasimamishi mgombea Urais Zanzibar kwa sababu, Zanzibar ina mfumo wa vyama viwili tu vya siasa.

Lissu amedokeza kuwa ni vyema kwa CHADEMA kufanya "strategic alliance" na ACT Wazalendo

Lissu amedokeza kuwa ni vyema kwa CHADEMA kufanya "strategic alliance" na ACT Wazalendo ili CHADEMA iweze kupata nafasi kisiwani humo

View attachment 3204802
Hapo umepotosha mwishoni. Amesema jaribio la CHADEMA kusimamisha mgombea Zanzibar ni kuisaidia CCM. Na ili CHADEMA wasimame Zanzibar kwa maana ya kuwa na mizizi ni lazima kwanza waifitini ACT. Hivyo wao CHADEMA ni bora kuiunga mkono ACT ishinde Zanzibar na sivyo unavyosema waitumie ACT ili wapenye kule.
 
ACT Zanzibar haihitaji kuungwa mkono.na chama chochote Tanzania bara kushinda chaguzi kule

Wanaweza wao kama wao hawahitaji Chadema wala Lisu

Lisu aache kujikweza
 
Wakuu,

Akiwa kwenye mdahalo siku ya leo, Lissu ametoboa siri kwanini CHADEMA huwa hawasimamishi mgombea wa Urais kwenye Uchaguzi wa Zanzibar.

Lissu amesema kuwa CHADEMA hawasimamishi mgombea Urais Zanzibar kwa sababu, Zanzibar ina mfumo wa vyama viwili tu vya siasa.

Lissu amedokeza kuwa ni vyema kwa CHADEMA kufanya "strategic alliance" na ACT Wazalendo ili CHADEMA iweze kupata nafasi kisiwani humo

View attachment 3204802
nimemsikia kwa kweli katika hoja hiyo yuko sahihi. Kwa kuongezea tu nashauri pia vyama vya upinzani viunge mkono hoja ya zitto ya kusimamisha mgombea mmoja wa uraisi. Hapo wataitikisa ccm na ikiwezekana kama ccm watajichanganya upinzan watachukua nchi.
 
Back
Top Bottom