Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Mimi namuunga mkono kabisa!!! NImekuwa nikisubiri kusikia an activist anaingia Bungeni... huyu ni mmojawapo..
Huyu ndio mtu. Bunge la Tanzania linahitaji critical people like this, sio kina Mbowe vilaza.. We need educated, patriotic principle led leaders. Unadhani huyu mkimpa kamati moja nzito itakuaje, lazima serikali ijicheki because he will fry them.
Makamba katokea wapi tena mazee..............anatajwa Mbowe we unamtaja Makamba..........too low....muacheni mzee wa watu jamaniUnaugomvi naye? Mbowe na Makamba nani Kilaza!! bwa bwa bwa bwa bwah
Wale unaowaita patriotic wanaongozwa na huyo unayemsema kilaza, kwani wao ni wajinga sana hawaelewi kiongozi bora ni yupi, kwa nini uwasemee au kwa nini hawaendi CCM kwa akina Makamba and CO. Ltd ambao sio vilaza.Huyu ndio mtu. Bunge la Tanzania linahitaji critical people like this, sio kina Mbowe vilaza.. We need educated, patriotic principle led leaders. Unadhani huyu mkimpa kamati moja nzito itakuaje, lazima serikali ijicheki because he will fry them.
Naona kwa maoni ya JF jamaa kishapita bila kupingwa. I like it.
Una uhakika gani JF ni Chadema ina maana na wewe ni Chadema, the problem of CCM members ni waoga kujitambulisha sehemu zenye mijadala ya kitaifa kama hapa na kwingineko kwa kuhofia kujulikana mawazo yao, uzuri wa wapenzi wa vyama vingine ikiwamo Chadema wana ujasiri wa kujitokeza na kusema wazi coz they have nothing to lose ndiyo maana unafikiri JF ni Chadema, nikuambie wazi members wengi wa JF ni CCM ukiwemo wewe lakini hamtaki kujitokeza na wanaojaa humu wakiwemo vistors wengi ni CCM.Jasusi,
Kazi kweli kweli. Tatizo ni kwamba JF ni CHADEMA na wapiga kura kule Singida ni CCM. Uzuri wa siasa za Tanzania, akishindwa atadai ameibiwa na mafisadi.
Jasusi,
Kazi kweli kweli. Tatizo ni kwamba JF ni CHADEMA na wapiga kura kule Singida ni CCM. Uzuri wa siasa za Tanzania, akishindwa atadai ameibiwa na mafisadi.