Elections 2010 Tundu Lissu Kuwania Ubunge Singida Kusini - Mashariki

Shida kubwa ni utayari wa wana wa Singida kusini kuongozwa ama kuwakilishwa na intellectuals kama huyu Bwana; hata hivyo nina imanai naye na namuombea kwa Mungu
.

Masikini Jeuri, Singida naijua, nami nimetoa angalizo kama hili

.

Nimekuwa nikisisitiza sana from from time to time, CCM inashinda maeneo mengi, sio tuu kutokana na weakness ya upinzani pekee, dis unity na lack of awareness, sasa hizi sehemu zenye njaa, watu wako tayari kuuza matumaini yao ya maendeleo kwa shibe ya siku moja!.

Kwa vile Lissu ni strategist, inatakiwa awareness campagn ya nchi nzima ili kuingiza wabunge wengi wa upinzani Bungeni.

Kwa mfano Mkoa wa Kilimanjaro una majimbo 9, CCM ni strong jimbo moja tuu la Rombo na majimbo mawili ya Upareni. Hivyo kama wapinzani wangeungana na kukubaliana kumsimamisha mpinzani mmoja mmoja kila jimbo, leo tungekuwa wabunge 6 wa upinzani Kilimanjaro, tamaa za wapinzani kusimamisha watu wao kila jimbo, imewafanya wakose yote na CCM kuibuka mshindi kwa kupata marginal.

Hili la kutangaza nia mapema ni zuri, kama kutatokea vyama vingine navyo eti kusimamisha wagombea wao kushindana na Lissu, huu utakuwa ni usaliti. Hii nngoma iachwe ichezwe kati ya Lissu na mgombea wa CCM!.
 
Unaugomvi naye? Mbowe na Makamba nani Kilaza!! bwa bwa bwa bwa bwah

Makamba might be worse but Mbowe is not serious either.. CHADEMA inatakiwa kuwa na kina Lissu 20 then watakuwa na capacity ya kuform government.. Mimi siongei kichama hapa, unaleta upuuzi wa ushabiki kama vile ni Simba na Yanga kumbe taifa, ndio shida ya Mitanzania, ushabiki na ndio mtakufa maskini.. Mimi sina shida so joke is on you.fooooooooooooL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…