johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halafu inflation itakuwa controlled?Katiba Mpya ya Wananchi, Tume Huru ya Uchaguzi na itakayo tenda haki kwa wagombea na wapiga kura wao; ni moja ya mahitaji makubwa kwa Watanzania wengi kwa sasa.
Kwa namna moja au nyingine. Maana wananchi watakuwa na uwezo wa kuchagua viongozi wenye uwezo, na pia akili ya kupambania matatizo yao.Halafu inflation itakuwa controlled?
Kenya wamefanikiwa Katika hilo?Kwa namna moja au nyingine. Maana wananchi watakuwa na uwezo wa kuchagua viongozi wenye uwezo, na pia akili ya kupambania matatizo yao.
Na siyo viongozi vilaza na wajuaji wanaoingia madarakani kwa msaada wa tume mbovu ya uchaguzi, na katiba inayo kipendelea chama dola miaka nenda.
Hilo ni debe tupu hata akipewa hiyo katiba mpya atasema anataka kulala kitanda cha ikulu!Wakati akihojiwa na Chief Odemba pale Star tv Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu alisema Rais Samia ameshughulikia mambo mepesi lakini Mazito yanayohitaji kubadili sheria bado hajayagusa tuzidi kumuombea
Lisu alisema mambo ambayo Rais ameshayashughulikia ni pamoja na kuwafutia kesi viongozi wakuu wa Chadema pamoja na Wanachama wa kawaida, pia Rais ameruhusu Mikutano ya hadhara
Ni jambo jema sasa Waziri wa Katiba na Sheria ameanza mchakato wa kisheria wa kuiendea Katiba Mpya
Dominica Njema!
Nenda kawaulize hao Wakenya. Au kuna mahali nimekuambia ya kwamba mimi ni Mkenya?Kenya wamefanikiwa Katika hilo?
Kwa sasa Kenya ndio rejea nzuri ya Katiba Mpya 😄😄Nenda kawaulize hao Wakenya. Au kuna mahali nimekuambia ya kwamba mimi ni Mkenya?
Mzee Mgaya, acha kupenda kunywa mkangafu asubuhi kabla ya kula kitu chochote.
Rejea ya Katiba ya Watanzania, ni ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba iliyovurugwa na Wanansiasa wabinafsi kutoka CCM na UKAWA kwenye lile Bunge la Katiba, lililojaa Wanasiasa wengi! Kukiko wataalam.Kwa sasa Kenya ndio rejea nzuri ya Katiba Mpya 😄😄
Rasimu ya Warioba imeshapitwa na wakati kisheria sasa rejea ni Katiba Pendekezwa!Rejea ya Katiba ya Watanzania, ni ile Rasimu ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba iliyovurugwa na Wanansiasa wabinafsi kutoka CCM na UKAWA kwenye lile Bunge la Katiba, lililojaa Wanasiasa wengi! Kukiko wataalam.
Katiba pendekezwa ilipitishwa na watu wa mlengo mmoja. Hivyo kwa utaratibu wa kawaida kabisa, haina uhalali.Rasimu ya Warioba imeshapitwa na wakati kisheria sasa rejea ni Katiba Pendekezwa!
Mchakato wa aina yoyote wa Katiba Mpya lazima utatawaliwa na CCM kwa sababu ndio Wenye nguvu!Katiba pendekezwa ilipitishwa na watu wa mlengo mmoja. Hivyo kwa utaratibu wa kawaida kabisa, haina uhalali.
Mchakato urejeshwe kwenye Bunge lingine la Katiba, litakalo jaa wataalam wengi halafu na wanasiasa wachache tu ili kupunguza mivutano ya kuweka za vyama vya siasa.
Siku zote Wananchi ndiyo wanatakiwa kuwa na nguvu. Na siyo CCM, au Chadema.Mchakato wa aina yoyote wa Katiba Mpya lazima utatawaliwa na CCM kwa sababu ndio Wenye nguvu!
CCM ndio Wananchi wenyewe kama Yanga!Siku zote Wananchi ndiyo wanatakiwa kuwa na nguvu. Na siyo CCM, au Chadema.
Nani kasema Katiba Mpya ni Maandamano?Katiba Mpya sio maandamano.
Kila nchi ina utamaduni wa kuendesha mambo yake ikiwemo utawala demokrasia n.k
Ndivyo itakavyokuwa!Naona dalili hii Katiba Mpya nayo inaweza kupatikana kwa maridhiano, wakasema tunachukua kidogo toka kwenye ile Rasimu ya Warioba, na kidogo tena toka kwenye ile Pendekezwa ya CCM.