Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Hata Nyerere alishakiri kuna mambo ya kijinga serikali yake iliyafanya na akasema tuache ya kijinga tuchukue mazuri!
 
U FaizaFoxy unisamehe sana Mama.
You were right kuhusu Nyerere.
Ila kwa suala la Kanisa hapana aisee.
Hili nalichukulia kama muendelezo wa udini wako na chuki zako kwa kanisa.
Btw, ni nini hasa msingi wa chuki zako kwa CHADEMA na mapenzi yako kwa CCM ambaye muasisi wake ni Nyerere ambaye ndo huyoooooo....
 
Last edited by a moderator:

Rejea post zangu ulete ushahidi wa matusi niliyomtukana Nyerere.

Nyerere jana kaitwa muongo na Lissu, FaizaFoxy akisema Nyerere muongo, inakuwa tusi?

Kuwa mkweli wa nafsi yako na usiwazulie uongo wenzako. Ukishindwa kuweka tusi la FaizaFoxy hapa kama ushahidi, basi wewe ni muongo, mzandik, fataani na ndumila kuwili kama Nyerere.
 
Mtoa mada acha uongo na kupindisha maneno hakumsema nyerere.kuwa ndiye aliishi kwa uwongo! Alichosema ni kuwa uongoz wa sasa unaish kwa uongo na hawataki ukwel!! Kama ulikuwa unaangalia tv unakunywa viroba ndo athari zake.usijitafutie umaarufu upendwe kwa sifa za kijinga.tv kila mtu aliangalia kwenda zako ndo maana una mdomo mweus kumbe mfitin mkubwa.lete hoja zenye mashiko.pole sana kwa ubongo wa naz
 
Lisu huwa mropokaji hana hoja za kujenga kwenye mijadala yake dawa ya lisu ni huyu dogo anamfahamu vema akimuona hunywea kabisa.
 

Na pale alipomnukuu Nyerere aliyoyasema gazeti la observer? Na baadae Nyerere akawatia ndani waliohoji Muungano? Huo si uongo wa Nyerere?
 
Sasa lissu ataaitwa msaliti...maana amekinzana na viongozi wake..wao reference kubwa huwa mwalimu sasa leo wakienda mikutanoni dr slaa akamsifia mwalimu lissu atasemaje? Hii ndo contradiction ya chadema...huwa hawana kauli kama chama.
 
Upo sawa kabisa,watu wanajaribu kurembaremba ata pasiporembeka.Kama muungano ulisukwa bila kufuata taratibu zilizokuwepo au walizokubaliana,hapa suspect wa kwanza ni Nyerere,huwezi sema hilo bila kukubali kuwa Nyerere alikosea.
 

haja kubwa ushaenda au bado, maana naona kama umebanwa na kubwa vile
 

Kama mkataba wa muungano haujapelekwa UN ina maana kule bado tunatambulika kama Tanganyika!
 
Someni muweke we....Nyetere alihakikisha watawala , ashivji na wenzake wakawakilisha wasomi uchwara ......wasiokuwa na misimamo ....
 
Mkuu, ninashukuru kwa kunisaidia kwa sababu kuna wengine hawawezi hata kujenga hoja ndani ya hoja. Kama baadhi ya watu wanashindwa kuelewa hata mantiki iliyowazi. Sishangai kuona suala la katiba kwa kiwango kikubwa limekuwa ni suala la vyama vya siasa pekee huku kundi kubwa la watu likikubali kila kile kinachofanywa na viongozi wao wa kisiasa ndani ya bunge Maalum.
 
Lisu huwa mropokaji hana hoja za kujenga kwenye mijadala yake dawa ya lisu ni huyu dogo anamfahamu vema akimuona hunywea kabisa.

Magamba bana! Eti hizo ndio hoja "nzito" za kwanini Serikali 2 ziendelee! Kama think tanks zenyewe ndio hizi, no wonder kwanini mnapigwa bao kila mahali. Hongera Mkuu.
 
Sasa lissu ataaitwa msaliti...maana amekinzana na viongozi wake..wao reference kubwa huwa mwalimu sasa leo wakienda mikutanoni dr slaa akamsifia mwalimu lissu atasemaje? Hii ndo contradiction ya chadema...huwa hawana kauli kama chama.

Watu wote wakweli wa nafsi yao,watatambua kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu,watamsifia alipopatia na watampinga alipokosea,na kwa Nyerere haiwezi kuwa tofauti.
 

Tusubiri, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga. Kumbuka juzi, Sitta ingawa yupo busy bungeni lakini kaitwa na Pengo na kaenda mbio-mbio, jiuliize kunani?
 
Last edited by a moderator:
Sasa lissu ataaitwa msaliti...maana amekinzana na viongozi wake..wao reference kubwa huwa mwalimu sasa leo wakienda mikutanoni dr slaa akamsifia mwalimu lissu atasemaje? Hii ndo contradiction ya chadema...huwa hawana kauli kama chama.

nenda uka nye kwanza wewe! Nyerere mwenyewe alishasema alifanya mambo mazuri na ya kijinga pia! Kama hujui kaa kimya mdomo kunuka wewe
 
Mh. Tundu Lissu yeye amesimama kwenye hoja kwa jinsi anavyomuona Mwl. Nyerere katika siasa zake za kigeugeu.

Kama kuna watu wanafuata watu, well, Tundu Lissu atakuwa amewachanganya kwa sababu hawasimami kwenye nguzo ya hoja.

Na watu hao sio wakuwaamini hata kidogo. CCM imejaa watu wengi wa aina hiyo[vigeugeu]. Tumeona hata hao wanaoitwa wasomi nao wakiwa hawana pakusimamia, tatizo sijui nini!
 
Unapotosha. Kwanza, maneno hayo hayakusemwa kwa Mwalimu Nyerere. Pili, maneno " haramu na halali" yalifutwa hivyo huwezi kuyapata kwenye hansard.

Alichosema Mwalimu kwenye gazeti la The Observer 1968, kama alivyonukuu Lissu, msisitizo ulikuwa " bila ushawishi kutoka nje". Mwalimu alisema asingewapiga wazanzibar mabomu kuwalazimisha. Hata hivyo, ushahidi wa wazi unaonesha wengi wa wapinzani wa Muungano ni mawakala wa mawazo ya nje. Mwaka 1972, Jamshid, Sultan aliyepinduliwa na Karume alihojiwa huko Uingereza kama anaona kifo cha Karume ni fursa ya kurejea madarakani Zanzibar, alisema kwamba amefurahishwa na kwamba kama "watu wake" watataka arudi Zanzibar atarudi. Tujiulize hawa "watu" wake walikuwa/ni kina nani?

Tanzania imepita kwenye majaribu mengi yaliyotokana na matakwa ya watu wa nje ikiwemo uhujumu uchumi, kuvunjika kwa Jumuiya, vita ya Kagera nk. Hata sasa wapo watu wanatumiwa kuingiza udini na mambo ya ovyo ilimradi kutugawa. Tutayumba lakini hatutaanguka, hawatafanikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…