Tundu Lissu na Bongozozo kuwaongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars huko Ivory Coast Leo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars huko Ivory Coast dhidi ya Morocco

Mungu mbariki Tundu Lissu
 
Hizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars huko Ivory Coast dhidi ya Morocco

Mungu mbariki Tundu Lisu
mmmghhh
 
dah!
afaddhalli bolizozo amshike mkono na kumuinua tena maana alishapotea kwenye medani kabisa hana kiki wala issue tena na amejitenga na maandalizi ya maandramano ya mapanyarodi January 24 🐒
 
Hizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars huko Ivory Coast dhidi ya Morocco

Mungu mbariki Tundu Lisu
Mzee mgaya unazeeka vibaya, ni BONGOZOZO sio BOLIZOZO
 
Mzee mbaya unazeeka vibaya, ni BONGOZOZO sio BOLIZOZO
kwahiyo unanizodoa mie au mleta bandiko kwa mgongo wangu kwamba mleta bandiko amekosea 🤓🐒

kwahiyo hujui kwamba Bolizozo ni wa ivory coast na Bongozozo wa bongo yupo Abidjan kuishuhudia Taifa Stars ikipiga mtu 3-1?

be careful bana 🐒
 
Mzee mbaya unazeeka vibaya, ni BONGOZOZO sio BOLIZOZO
wewe ni born 1999 eeh?

uwe unauliza kwanza bana, sawa bana mdogo! utajifunza na kuelewa mengi tu hata na hivyo relax soon utajua bolizozo ni nani na Bongozozo ni nani pia 🐒
 
Back
Top Bottom