johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
mmmghhhHizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars huko Ivory Coast dhidi ya Morocco
Mungu mbariki Tundu Lisu
Mbowe kaenda mapumziko U.S muwe mnaelewa.Safi sana, huyu Mwenyekiti Mbowe anataka kututafutia majanga tu badala tufurahie AFCON, Mbowe ameshakimbilia nje ya nchi
NaamLisu+Bongo zozo lazima taifa stars ishinde.
dah!Hizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars huko Ivory Coast dhidi ya Morocco
Mungu mbariki Tundu Lisu
Nasikia harufuuuuu.....mmmghhh
We zombi unamjua bolizozo?dah!
afaddhalli bolizozo amshike mkono na kumuinua tena maana alishapotea kwenye medani kabisa hana kiki wala issue tena na amejitenga na maandalizi ya maandramano ya mapanyarodi January 24 π
namjua kibaraka zaidi πWe zombi unamjua bolizozo?
Acha kuchanganya bongozozo na bolizozonamjua kibaraka zaidi π
sawa mjuba nimeacha πAcha kuchanganya bongozozo na bolizozo
Mzee mgaya unazeeka vibaya, ni BONGOZOZO sio BOLIZOZOHizi ndio habari njema kama ziluvyoripotiwa na vyombo vya habari huko Ivory Coast
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lisu aka Muujiza Unaoishi leo atawaongoza Watanzania kuishangilia Taifa Stars huko Ivory Coast dhidi ya Morocco
Mungu mbariki Tundu Lisu
kwahiyo unanizodoa mie au mleta bandiko kwa mgongo wangu kwamba mleta bandiko amekosea π€πMzee mbaya unazeeka vibaya, ni BONGOZOZO sio BOLIZOZO
ikiwa ivo ni kwasababu ya yule jamaa amepeleka nuksi but uhalisia ni tunapiga mtu 3-1Moroco 5_0 tanzania
wewe ni born 1999 eeh?Mzee mbaya unazeeka vibaya, ni BONGOZOZO sio BOLIZOZO
Kwa taarifa yako fainali ya caf 1993 nikuwa uwanjaniwewe ni born 1999 eeh?
uwe unauliza kwanza bana, sawa bana mdogo! utajifunza na kuelewa mengi tu hata na hivyo relax soon utajua bolizozo ni nani na Bongozozo ni nani pia π
basi bolizozo una mjua vizur mambo yake na Bongozozo unamfahamu pia right πKwa taarifa yako fainali ya caf 1993 nikuwa uwanjani