Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na CHADEMA badilini hotuba


Nothing wrong na hotuba za huyu jamaa...

Zingekuwa na matatizo, watesi wake wasingekuwa wanalala hoi na viatu vyao...!!

Na kwangu mimi hotuba za Lissu zote ziko very technical & strategical kumfanya opponent wake ahemuke na kumkosesha utulivu wa roho na nafsi muda wote...

Hotuba za mgombea wa CHADEMA za maeneo ya miji midogo na vijiji ziko tofauti kabisa na hotuba za kwenye miji mikubwa....

Kwa uchache kidogo, fuatilia na angalia hotuba alizotoa Kigoma, Geita, Mwanza, Musoma, Tarime na Serengeti leo....

Ziko so hot and organized to the extent kwamba, zinabadili kabisa misimamo na imani za watu..

Anachofurahisha watu ni kuwa, the guy is all the time very focused and very pro active kujibu chochote kilichotokea jana au masaa machache yaliyopita....

Hasubiri mpaka damage itokee ndipo aanze kushughulika na damage....

Anahakikisha muda wote mshindani wake Jiwe na wanaomsaidia ashinde TISS, NEC, Polisi hawalali kwa kufikiria na kupanga njama zozote haramu kumdhibiti....

Ashikilie hapo hapo. Muda wote aoneshe udhaifu wa CCM, serikali na specific Magufuli as a person ki - SERA, ki - MIKAKATI na ki - MIPANGO ktk kuiendesha nchi....

Mwisho aseme yote hayo ni kutokana na kukosekana kwa UHURU na HAKI na MAENDELEO YA WATU...

Hii strategy amekuwa akii - execute kwa uzuri na ufasaha na ndiyo maana popote anapopita watu wanamfuata pasipo mfano wa kufananisha...!

Yuko kwenye right track kabisa...
 
Amepenyezewa uongo kuhusu mkutano unaodaiwa wa JPM na wakurugenzi wa halmashauri akanasa kiulaini kwa kuropoka...

Wewe ndiye unayeamini kuwa ni uongo...

Amesema hivi Leo kama umepitiwa kusikiliza, Kwamba;

Kama kuna mtu yeyote anamlalamikia kuwa amekiuka sheria na maadili fulani ya uchaguzi wa mwaka 2020, basi afuate utaratibu amwambie kwa maandishi amekiuka nini na ndani ya masaa 48 atajibu...

Sasa kama hiyo unafikiri ni hoja na haina majibu, amesema inavyoonekana NEC HAWAMJUI TUNDU LISSU na sasa watajua Tundu Lissu ni nani..!!
 
Tundu Lissu ni mweupe...usimpe sifa asiyostahili...he is a loser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…