Pre GE2025Tundu Lissu na Komredi Kinana wanakubali Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na Walakini. Je, 2025 kwenye Free & Fair Election CHADEMA watavunja rekodi ya 2015?
Hivi nani anayekudanganya na kumuamini kuwa 2025 uchaguzi utakuwa Free an fair. Kama kweli hawa watu wangekuwa wa kweli basi tungeiona hiyo nia yao. Inaelekea mwenzetu huoni maigizo ya Maza kwa kuwa amewatanguliza Machawa.