johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ccm wenyewe wanamheshimu sanaLissu ndio mwanasiasa pekee ambaye sio mnafiki ambaye kabaki angalau anawezasikilizwa iwe ndani ya ccm au nje
Pesa za Abdul zimeshadanya kazi??..Lissu ndio mwanasiasa pekee ambaye sio mnafiki ambaye kabaki angalau anawezasikilizwa iwe ndani ya ccm au nje
Rushwa hupofusha machoLissu naona kila anachoongea yupo kinyume na wenzake, currently chadema viongozi wao wakuu wamekosa uniformity
Wewe unamzidi Sifa dadake Lisu?Nakumbuka enzi zile Lissu alimpa dada yake ubunge wa viti maalum, akiwaacha mamia ya wanawake wenye sifa
Kwisha π€£π€£π€£π€£Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amewaonya Viongozi wazembe ndani ya Chama chake
Lissu amewaomba Viongozi wa Chadema DSM suala la kuvumilia Viongozi wanaopewa rushwa na CCM Ili kuimarisha miradi yao ni lazima lifike mwisho
Chanzo: Mwananchi
My take; Lissu amejilipua
Mlale Unono π
Lissu imemchukua muda sana kushtuka kuwa CDM ni SACCOSMakamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amewaonya Viongozi wazembe ndani ya Chama chake
Lissu amewaomba Viongozi wa Chadema DSM suala la kuvumilia Viongozi wanaopewa rushwa na CCM Ili kuimarisha miradi yao ni lazima lifike mwisho
Chanzo: Mwananchi
My take; Lissu amejilipua
Mlale Unono π
KumbeRushwa hupofusha macho
Naunga mkono hoja, rushwa ni mbaya na haivumiliki, ila asije akachanganya pesa za viongozi wa CCM ambazo ni rushwa, kama zile za kununua wabunge na madiwani, na pesa za viongozi wa CCM kusaidia chadema, kama fedha za vile vikao, fedha za zile ziara za viongozi wa Chadema nchi za nje, na kwa vile Chadema ni chama cha kibepari, na baadhi ya viongozi wakuu wa chadema ni mabepari wakubwa, hakuna ubaya wowote kwa mapepari wa Chadema kuomba msaada kwa mabepari wa CCM kusaidiwa fedha za miradi yao binafsi. Fedha hizo sio Rushwa ni bussiness financing na hazina ubaya wowote.Lissu amewaomba Viongozi wa Chadema DSM suala la kuvumilia Viongozi wanaopewa rushwa na CCM Ili kuimarisha miradi yao ni lazima lifike mwisho
Chanzo: Mwananchi
My take; Lissu amejilipua
Mlale Unono π
Kwa maelezo haya unakiri na unatakbua rushwa ndani ya Chadema Hadi cahnnel zakeNaunga mkono hoja, rushwa ni mbaya na haivumiliki, ila asije akachanganya pesa za viongozi wa CCM ambazo ni rushwa, kama zile za kununua wabunge na madiwani, na pesa za viongozi wa CCM kusaidia chadema, kama fedha za vile vikao, fedha za zile ziara za viongozi wa Chadema nchi za nje, na kwa vile Chadema ni chama cha kibepari, na baadhi ya viongozi wakuu wa chadema ni mabepari wakubwa, hakuna ubaya wowote kwa mapepari wa Chadema kuomba msaada kwa mabepari wa CCM kusaidiwa fedha za miradi yao binafsi. Fedha hizo sio Rushwa ni bussiness financing na hazina ubaya wowote.
P